AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Hatimaye Kile kitendawili cha Nani Atakuwa Waziri Mkuu wa Awamu ya Tano Kimepata jibu asubuhi hii..
Rais Amemteua Mh Majaliwa Kassim kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Tanzania
Jina hilo limetangazwa leo na Spika wa bunge Mh. Ndugai.
Tusubiri kama ataendana na kauli mbiu ya #Hapakazi tu.
Je Kwa Maoni yako Anafaa kuwa Waziri Mkuu?
Je Kwa Maoni yako Anafaa kuwa Waziri Mkuu?
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Hata kama hafai utafanya nn? Mzee Mwinyi kuna wakati alisema 'kila zama na kitabu chake', na mpaka leo huwa naheshimu sana kauli/msemo huu. Ni vema sote kwa pamoja kama watanzania tukajikita zaidi kwenye ufanyaji kazi wa bidii ili tuweze kuona nchi inapoelekea. uchaguzi umeisha sasa tuchape kazi
ReplyDeleteIt is a surprise. Out of people's minds and like this kind of surprise. It shows that our president knows who will work in his accordance than what people say. Mwalimu usituangushe Kama mkulima. Tunategemea kuona unatumia hata fimbo pale inapobidi ili kuhakikisha watu wanaelewa na unafikia malengo yako Kama kiongozi.
ReplyDeleteNina shaka kama ataweza kuhimilli vishindo vya upinzani Bungeni.
ReplyDeleteMmmh! USIMJADILI USIYEMJUA, UTAKUWA HUJAMTENDEA HAKI, NGOJA TUSUBIRI TUTAJUA TU KAMA ANAFAA AMA VEPE.......SUBIRA YAVUTA HERI,
ReplyDeleteAnafaa sana tu tena sana. Anayemjadili vibaya ujue hataki kazi anataka siasa.
ReplyDelete