Breaking News: Sheikh Issa Ponda Ashinda Kesi ya Uchochezi na Kuachiwa Huru

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mahakama ya hakimu mkazi Morogoro imemuachia huru Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda aliyekuwa akituhumiwa kwa makosa ya uchochezi baada ya mahakama kutoridhishwa na ushahidi wa upande wa mashtaka na hivyo kuonekana hana hatia

Makosa yaliyokuwa yakimkabili ni mawili ambayo ni kushawishi watu kutenda kosa, pamoja na kutoa matamshi yanayoumiza imani ya dini nyingine.

Hakimu wa kesi hiyo Mary Moyo amesema ushahidi uliotolewa na upande wa mashitaka haukujitosheleza hivyo mahakama hiyo imemwachia huru na rufaa iko wazi endapo upande wa mashitaka hautaridhika na hukumu hiyo.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Woooooow
    People power rrrrrrrrrrrrrrrrrrr

    ReplyDelete
  2. MWENYEZI MUNGU MKUBWA, ALLAH AKULIPE UJIRA MWEMA KWA KUPATA MATESO KWA AJILI YA DINI YAKE. AMIN, TAKBIIIR!

    ReplyDelete
  3. M/Mungu atawashinda hao na Mtume s.a.w atawashindilia stahamili shehe wetu.

    ReplyDelete
  4. mmmh.. jamaa kasota na kesi ya muda mrefu. pole usirudie tena mambo ya ubabe,, naamini mtume s.a.w alikuwa mpole japo simjui.

    ReplyDelete
  5. Sheikh fundisha Dino sio ugaidi,hiki ni kisiwa cha Amani,ukitaka ugaidi nenda Syria .hapa kazi tu

    ReplyDelete
  6. ikiwa ugaidi mbona ushahidi haupo, SHEIKH endelea na msimamo wako wa kuitetea dini hata hao Mitume walipata tabu sana na we unalijua hilo. ALLAHU AK-BAR.

    ReplyDelete

Top Post Ad