Kasi Rais Magufuli Yamkumba Kamishna Mkuu wa TRA Afukuzwa Kazi Kwa Upotevu wa Makontena zaidi ya 349 Bandarini...

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania, Mh. Dkt John Pombe Joseph Magufuli amemsimamisha kazi kuanzia jana tarehe 27 Nov. 2015, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ndugu Rished Bade kufuatia ziara ya kushtukiza ya Waziri Mkuu, Mh. Majaliwa Kasimu Majaliwa mapema jana asubuhi Bandarini jijini Dar es salaam.
 
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akizungumza na waandishi kutoka vyombo mbalimbali vya habari (hawapo pichani) kuhusu upotevu wa makontena zaidi ya 349 huku akiwa ameshika nyaraka yenye orodha ya makontena hayo.
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akionesha nyaraka hiyo mbele ya waandishi wa habari waliofika kwenye mkutano huo.

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue wakwanza kushoto akifafanua jambo mbele ya wanahabari.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huyu baba hana muda mrefu tangu achaguliwe, hayo 'madudu' inawezekana ameyakuta, hebu turudi nyuma kidogo, maana huu ni kama mtego wa panya, wanaingia walokuwamo na wasokuwamo.....chain ni ndefu.........MUNGU IBARIKI TANZANIA NA WATANZANIA, MLINDE RAISI NA WAZIRI MKUU WETU.....AMEN

    ReplyDelete
    Replies
    1. Na kweli labda maagizo yalikuwa toka ikulu na CCM

      Delete
  2. Watakao bainika wametuibia kiasi cha kutosha WAFILISIWE

    ReplyDelete
  3. fukuza majizi yootteeeeeee, Mhs Magufuli.

    ReplyDelete
  4. WAKANYIE DEBE NA WAFILISIWE WEZI WAKUBWA HAO

    ReplyDelete
  5. Kamuonea
    Inawezekana alikuwa anapata maagizo toka ikulu Na CCM

    ReplyDelete

Top Post Ad