Mkazi Mmoja wa Mkoa wa Morogoro Amejikata Kidole Chake Baada ya Lowassa Kukosa Urais

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mkazi mmoja wa mkoa wa Morogoro amejikata kidole chake kidogo cha mkono wa kushoto ambacho huingizwa kwenye wino baada ya kupiga kura ikiwa ni hasira ya Lowassa kukosa uraisi.
Mkazi huyo pia ameharibu kadi yake ya kupiga kura na kuahidi kutopiga kura tena katika maisha yake.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kidole tu, angejinyonga kabisa ndio tungejua kweli ana hasira.......hovyoooooooo

    ReplyDelete
  2. Hahahahahaha.......sasa asipopiga kura tena anamkomoa nani? Kura yake moja haikumsaidia huyo Lowasa, je asipopiga kabisa itakuwaje.......piiipooozzzz PWAAAAAAAAAA

    ReplyDelete
  3. Aliyeleta habari na aliyejikata kidole kama ni kweli au badi ni habari za wavuta bangi wa Ukawa waombeni wahamie jimboni kwa Lowasa ni nchi tosha haina nyumba za nyasi, haina masikini na elimu bure toka chekechea hadi PhD.
    Jamani msiwe mnaandika habari za hao wavuta bangi hatutaki kuwasikia tena!!!

    ReplyDelete
  4. Piiiipoooozzzzzz chali wanaume tunapita juuuuuu

    ReplyDelete

Top Post Ad