Ali Kiba Ampagawisha Jokate na Kujikuta Akisema Maneno Haya Bila Kuficha

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


NYOTA wa muziki wa kizazi kipya nchini, Jokate Mwegelo, amemsifu msanii mwezake Ali Salehe ‘Ali Kiba’ kwa kutumbuiza muziki na ‘live Band’ kitu kinachoongeza mvuto kwenye maonyesho yake.

Akizungumza na MTANZANIA, Jokate alisema Ali Kiba ni mfano wa kuigwa kwa sababu muziki unakua na soko la kimataifa linahitaji wasanii wanaotumia ala za muziki wawapo jukwaani.

Ali Kiba ni mfano wa kuigwa, wasanii tusipende kutumia CD kwenye majukwaa tunadumaza vipaji vyetu ni vyema tukafahamu mashabiki pia wamechoka mtindo wa ‘Play Back’,” alisema Jokate.

Aliongeza kuwa alishawishika kuhudhuria onyesho la Funga Mwaka na Ali Kiba kwa sababu alijua burudani inayotolewa na msanii huyo huwa ni ‘live’ kwa kutumia ala za muziki.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad