Kamanda Suleiman Kova, Astaafu Rasmi Jeshi la Polisi Tanzania!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova, Ametangaza asubuhi ya leo katika kipindi cha kumekucha cha ITV kwamba anastaafu rasmi kazi yake ya Upolisi.

Tunamtakia kila la heri huko aendako.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Si rahisi kujibadili kutoka kwenye mazoea. Ni w
    Ni masalio ya Kikwete hayaendani na Magufuli..

    ReplyDelete
  2. ni tajiri'haramu'wa kutupwa.anahusika sana na upotevu na wizi mwingi wa makontena na uvushwaji wa mali za kuibiwa bandarini.ni vema ustaafu kwanza uwe raia wa kawaida ili hatua za kiupelelezi zianze kuchukuliwa dhidi yako,umeiba sana,ni lazima uhukumiwe kwa uhalifu ulioifanyia tanzania.

    ReplyDelete
  3. Kujiita anonymous halafu ukaandika mambo usiyokuwa na uhakika nayo ni hatari na wala haitokusaidia chochote zaidi ya kujiingiza kwenye matatizo.

    ReplyDelete
  4. Huyu bwana amekuwa akifuga majambazi kila sehemu.

    ReplyDelete
  5. ...Kama alitenda mema, basi Mungu amlipe kwa wema wake bila Mapunjo.. Kama alitenda yasiyo mema kwa kutokujua basi Mungu Amsamehe kwa Kila tendo lake.. na kama yapo aliyotenda yasiyo mema tena kwa Makusudi huku Akijua, basi Mungu amlipe kwa stahiki husika kulingana na Kila tendo husika.. Amiiiin

    ReplyDelete

Top Post Ad