Mtandao wa Mkito Watoa List ya Nyimbo za Bongo Flava zilizo Downloadiwa zaidi...Nahreel na Team yake Watawala Chat ya HipHop

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mtandao wa kuuza nyimbo za wasanii wa mkitodo.com leo umetoa listi ya wasanii ambao nyimbo zao ziliongozwa kwa kupakuliwa katika mtandao ndani ya mwaka 2015. Wimbo wa #ChekechaCheketua wa @officialalikiba umeongoza kwa kupakuliwa mara nyingi zaidi kwenye mtandao huo kwa muziki wa aina zote - ukipakuliwa mara 47,000 ukifuatiwa na #MpakaNizikwe wa @yamoto_band , nafasi ya 3 imekamatwa na wimbo wa @vanessamdee #NobodyButMe , Mapenzi au Pesa ya @naytrueboy na @diamondplatnumz ukifuatia na nafasi ya 5 ikikamatwa na #ShauriZao wa @belle9tz 
@joh_makini na familia yake ya kimuziki ya #GoodMusicFamily wameitawala chati ya nyimbo za Hip Hop zilizopakuliwa zaidi.
Katika chati iliyohusisha muziki wa Bongo Fleva pekee katika nyimbo 5 zilizopakuliwa zaidi Alikiba ameingiza nyimbo mbili pamoja na #Nagharamia na @bellachristian1 , huku wakiungana na @naytrueboy @momusic na mwadada @ruby_na_yule akifunga dimba baada ya wimbo wake wa kwanza kabisa #NaYule kupakuliwa zaidi ya mara 25,000. #Asante2015 

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Exciting to see Alikiba's #ChekechaCheketua leading the pack in Mkito's list of most downloaded Bongo Flava songs in 2015, showcasing the dynamic music scene. Meanwhile, Joh Makini and the Good Music Family dominate the Hip Hop charts, marking a year of musical triumphs.cheap spotify promotion may compromise quality and effectiveness, potentially hindering the success of your music outreach.

    ReplyDelete

Top Post Ad