Rais John Magufuli Amfuta Kazi Mkurugenzi wa Takururu Dr Edward Hosea..Sababu Hizi Hapa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Rais Magufuli leo ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Dr. Edward Hoseah kwa kutoridhishwa na utendaji wake. Nafasi yake itakaimiwa na Valentino Mlowola

Pia amewasimamisha kazi watumishi wanne wa TAKUKURU kwa kukiuka agizo lake la kutosafiri nje ya nchi, awataka watumishi wote wa Umma kutii agizo lake

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ni vizuri kwa uamuzi uliofanywa na mh RAIS kwa kumsimamisha kazi mkurugenzi mkuu wa TAKUKURU kwa uzembe na kutowajibika ktk majukumu yake ya kawaida ongera sana mh RAIS....hapa kazi tu

    ReplyDelete
  2. Kwa mtizamo wangu, hatua za Rais Magufuli ni sahihi. JAmbo hili halihitaji akili nyingi kujua kuwa serikali ya awamu iliyopita ilikuwa imejaa uozo wa rushwa, ufisadi pamoja na uzembe. Kwa mantiki hiyo, kwa vile serikali ya Magufuli imedhamiria kusafisha uozo huo, ni dhahiri kwanza ina kibarua cha kutafuta watendaji kazi wengine katika sekta zote muhimu ili kutimiza azma hiyo. Sisi wananchi wa kawaida tunampongeza Rais kwa jitihada hizo, na tupo nae bega kwa bega. Mapambano bado yanaendelea!

    ReplyDelete
  3. Fukuza fukuza wakukaya
    Nenda Na usalama WA taifa huko ndiyo mambo matapeli , majizi yote hujifanya usalama wa taifa
    Fukuza fukuza wote
    Polisi
    Na
    Mahakama
    Hapo utafanya kazi
    Vinginevyo hakuna

    ReplyDelete
  4. Huyu ndiyo Rais tuliokuwa tunamtaka. Nchi ilioza Kila kona lkn mwezi mmoja tu akili za watu zimekaa sawa kwamba sasa Co Kama zamani. Hongera sana president. Naowamba Mawaziri msimwangushe Rais wetu. Ninawasiwasi na hizo safari zenu za kushtukiza Kama zinalenga kuboresha au kuiga mtu. Uwaziri Co kuigiza. Fanya yako tuyaone. Hata jpm alikuwa waziri a Kafanya kazi watanzania wote tuliiona ktk kipindi chake chote cha Uwaziri. Hata kwenye utawala mbovu. Alionekana. Tumieni akili.

    ReplyDelete
  5. HAWA TAKUKURU NDIO WALA RUSHWA WAKUBWA HAPA NCHINI BOLA IFUTWE TU.

    ReplyDelete
  6. Fukuza na Waadhibiwe. Achana na uongozi wa Kiswahili.

    ReplyDelete
  7. safi saana Mhs, unafanya mambo sahihi kabisa, hyu alikuwa hafai hata kidogo, na ningelikuwa wewe ningewatimua wote walioteuliwa na kikwete kwenye nafasi hizo muhimu.

    ReplyDelete
  8. Ondoa hao wote baba,tumechoka kuwaona kazi zao wanafanyia kwenye magazeti na Tv tu tuondolee hawaendani na kasi yako

    ReplyDelete
  9. Wacha yakumkute alikuwa akikashifu viongozi waliomuweka madarakani akija USA
    Eti wana ukimwi
    Akilewa anatapika yote abishe tunayo record yake USA
    Kamtaja .......
    Na .........
    Na ..........

    ReplyDelete

Top Post Ad