Waandishi, Viongozi wa Dini, Wahadhiri Wanaipenda CCM au Wanaiogopa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Miaka ya nyuma kipindi cha Mwinyi na Mkapa makundi haya yalisaidia sana kukikosoa chama na serekali. Alipoingia JK hadi mda huu wapo kimya ama wanashabikia kila jambo. Nini kimetokea?Ndio maana serekali ya Jk ikawa na mapungufu mengi. Kuna ushahidi hii ya Magufuli ikawa na madhaifu zaidi kama haya makundi yataendelea kujitoa ufahamu.Tazama dhuluma ktk chaguzi,bomoabomoa,zuio la mikutano, ujambazi na mauaji,rushwa,huduma mbovu lakini waliishabikia CCM..Uchafu na majipu yaliyotumbuliwa ni fedheha kubwa kwa haya makundi. Fedheha zaidi wanapoanza unafiki na pongezi kwa marundo.Kanisa katoliki lina dosari kubwa nahisi chama kina mfumo wake humo.Wahadhiri hawa wa leo na majukumu yao ya chama Serekali za wanafunzi na matawi yao.Vituo vya tv na makada wao.Kina Makwayawahenga .Watangazaji wanatetemeka kusoma habari hasi ya CCM au serekali huku wakikejeli hata kupotosha kuhusu umuhimu wa upinzani na demokrasia. CCM ikitumia nguvu hila ktk chaguzi haya makundi yannanywea na kuĵifanya ''amani kwanza, amani muhimu,,, lakini hawaikemei CCM.Nimepunguza heshimaa yangu kwa maaskofu,makardinali,Maprof ,ma doctor .Naziheshim baadhi ya NGOs

JF
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Labda nao wanahusika. Piawalimuwa mkono mmoja na Kikwete. Au walipewa kitu. Sasa wanaogopa kuenguliwa. Toeni umweli. Safisha n hi kwa manufaa ya watu wote ili tusonge mbele.fanya haki na leteni demokrasia ili watu wawe huru. Ni muhimu sana.

    ReplyDelete
  2. Bomoabomoa wewe ndio uliwaruhusu wale watu wajenge pale mabondeni ili Rais Magufuli akeshe akienda kuwajulia wahenga wa mafuriko badala ya kuwashughulikia wala rushwa na mafisadi wa mali za Watanzania.

    ReplyDelete
    Replies
    1. mjinga wewe unayetoa utumbo wakwamba Raisi magufuli na washenga. Akili finyu na ujinga wa kutuppwa.

      Delete
  3. "Nimepunguza heshimaa yangu kwa maaskofu,makardinali,Maprof ,ma doctor .Naziheshim baadhi ya NGOs".........Kama unafikiria Serikali hii ya #HAPAKAZITU ni kama ile Serikali ya Wazembe iliyopita iliyoshindwa kudhibiti mapato ya Taifa hili hususan pale Bandarini kwa kuruhusu wizi mkubwa wa Makontena, basi imekula kwako....na utabakia hapo ulipo na chuki zako binafsi kwa sababu nafsi yako haiwajali Watanzania kwa ujumla bali unajijali wewe mwenyewe, unaangalia maslahi yako binafsi kuliko ya Watanzania wengine........sio wewe pekee bali kuna wajinga wa aina yako wengi tu ambao mpaka sasa wanatahayari na hawajui cha kufanya kwa sababu walizoea ile dhuluma kwa Watanzania ambao wengi wao ni wanyonge.

    ReplyDelete
  4. Hahahahahahahaha!Kazi mnayo,Yaani mtu ukilala ukaota ndoto basi kesho yake unaiweka magazetini,nawaonea huruma.KUBALINI JAMANI-HAPA NI KAZI TU!

    ReplyDelete
  5. Wewe uliyeandika haya madudu nina uhakika sio mtanzania,hebu rudi kwenu kama umekosa kuheshimu hifadhi uliyopewa na watanzania.

    ReplyDelete

Top Post Ad