Aliyekuwa Mchumba wa Idriss Samantha Ampa za Uso Idriss na Kudai Anatukanwa na Watu Kwenye Page yake Bila Sababu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Samantha Aliyekuwa mpenzi wa Idriss Kabla ya Kumwagana baada ya muda mfupi wa penzi lao amefunguka kuhusu kero na matusi anazozipata kwasababu ya Idriss kutoka kwa mashabiki

Samanthajannsen 
@idrissultan I think you and I have had this discussion a few times and you know as well as I do that I don't want you and that we better off as friends. With that being said I would like to congratulate @wemasepetu and wish you all the best , but also kindly respect me as I have , because there's no where I have ever mentioned your name or called you any other name like you called me.Now please can people respect my page and stop with unnecessary drama , I have companies am working with and when they go on my social media pages , all they see is insults and negativity, why ? We all have lives past relationships , can we focus on positivity with all this strength people are using on negativity , I think we all have better things to do on social media 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Atajuta kuwajua wabongo samantha,na bundle zao za kuunga unga,na simu za tecno na uhawei.wanachojua ni drama tu kwenye social media wala hawazitumii kwa kuwaletea fedha.

    ReplyDelete
  2. breaking newssssssssssssssssssssssss,ZARI JANA KAULIZWA LIVE HAPA SOUTH MPANGO WAKE NA MOND AKAJIBU HANA MPANGO WOWOTE ZAIDI YA KULA LIFE TU NA MOND ETI ATAKI KUOLEWA NA MOND,MOND UPOOOOOO???JIPANGE DEAR MOND.

    ReplyDelete
    Replies
    1. haikuhusuuuuuuuuuuuuuuu jipange wewe mwenyewe achana na maisha ya watu

      Delete
    2. Kwani wewe kilaza hujui kula life ndio maisha yenyewe ama ulikuwa unataka nini?

      Delete
    3. Hivi kwa mawazo yenu hata huyo Dai ana mpango wa kumuao Zari? Dai badovmdogo atakuja kuoa mwanamke wa saizi yake Haya mambo ya sasa hivi ni ujana tu!

      Delete
    4. nani atakubali kuolewa na mwanamme asiye na kizazi hata huyo umri wake.

      Delete
  3. Samantha sorry hao ndio wabongo,watu wa negativity,wanapenda kuona watu wanafarakana kwa kifupi wanapenda drama,na hapo wana kiingereza cha kuunga unga,nadhani kiswahili kimetujaa kichwani kwetu,muulize tecno au davido atakuueleza habari ya wabongo.

    ReplyDelete
  4. Aliyeleta news za ZARI big it up safi saana unajua Mond hajielewi ,akili ziro

    ReplyDelete
  5. Ndio mana picha zt km ananusa maaviii

    ReplyDelete
  6. hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaa! ya leo kali kuliko xxxxxxx

    ReplyDelete

Top Post Ad