Breaking News:Mkwe wa Marehemu Nyerere ..Leticia Nyerere Afariki Dunia

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Leticia Nyerere amefariki dunia katika hospitali ya Doctors Community iliyopo Lan ham, Maryland jana saa mbili usiku kwa saa za Afrika Mashariki..

Leticia aliolewa kisha kutengana na mtoto wa Hayati Baba wa Taifa, Madaraka Nyerere mwaka 1996, ambapo walifanikiwa kupata watoto watatu.

Leticia alikuwa mtoto wa Mzee Musobi Mageni. Julai 27 2015, Leticia alitangaza kuihama CHADEMA na kurejea Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Mungu ailaze roho ua Marehemu mahali pema peponi,
Amina
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Jamani kilichomuuwa huyu Dada ni kitu gani?? Mbona hatuelezwi......ndio tunajua alikuwa amelazwa lakini je alikuwa anasumbuliwa na maradhi gani????.....Waandishi wa habari wa Nchi hii ni majanga kha!!!!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ukijuwa anaumwa nini utamfufuawa
      Kama ulipita jiandaye baby wewe

      Delete
  2. Jamani kilichomuuwa huyu Dada ni kitu gani?? Mbona hatuelezwi......ndio tunajua alikuwa amelazwa lakini je alikuwa anasumbuliwa na maradhi gani????.....Waandishi wa habari wa Nchi hii ni majanga kha!!!!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ulipita Kwani hapo
      Jiandaye Na wewe ndo habari ya mujini

      Delete
  3. Point of correction,,,,sio mtoto wake ni Mkwe wake,,,,R.I.P Leticia.

    ReplyDelete
  4. Makongoro sema wagonjwa unao bado madaraka , Rosemary , na hata Anna wanatisha
    RIP Leticia
    Ila shemeji akome kuita watu wagonjwa

    ReplyDelete
  5. Kwanza kabisa poleni kwa msiba
    Lakini najuuliza nimeona kwenye vyombo vya habari eti gharama za kusafirisha mwili wa marehemu zitagharamikiwa Na serikali , ni kigezo kipi hapa kimetumika
    Niyuavyo mimi mfanyakazi wa hurusiwa mke na watoto wanne , pamoja baba Na mama WA pande zote mbili,
    Serikali toka awamu ya tatu imekuwa ikigharamia family ya Mwl, lakini ni mkwewe tu ndiyo kugharamikiwa gharama hizi, kwa hesima zote mama WA watu hana makuu nafikiri hata watoto wake pia, tulisikia kuna bima za maisha hata kwa Watanzania waiishio ughaibuni
    Marehemu nadhani Kabisa alikuwa na bima hii,
    Au tu kwa sababu alihama chadema kuhamia CCM
    Haniingilii kichwani kwa hili la kugharamia gharama hizi
    Kama mchango basi utoke CCM, chadema Na watu binafsi
    Kwa sababu wako watu wamekufa kwa bomoa bomoa ya msimbazi hadi leo hatujaona ikulu kwenda kuwapa pole je hawa siwatu? Ambao mauwaji yao yamesabaishwa na serikali?
    Tuwe wakweli tusibaguwane kwenye matumizi ya fedha za serikali
    Ya Zanzibar mpaka leo kitendawili
    Kana kwamba hakuna lolote
    Mungu ibariki Tanzania
    Pumzika kwa Amani dada Leticia

    ReplyDelete

Top Post Ad