Breaking News;Uchaguzi wa Marudio Zanzibar Kufanyika Mwezi Machi 2016

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi ya Zanzibar ZEC ametangaza siku ya uchaguzi wa marejeo kwa upande wa Zanzibar ambayo itakua ni March 20 2016.

Je una Maoni Gani!
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kwan maafikiano yaliishia wapi? kwanini zanzibar hasa viongozi wa pande mbili zinazokinzana wasikae na kutatua huu mzozo? Ninachokiona hapa, tume inataka kuleta machafuko kwan sidhan kama wenzetu wa CUF watakuwa tayari kwa hilo. Ni mtazamo wangu!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwani wewe nani na wenzio kukataa jema kwa masilahi ya wazanzibari

      Delete
  2. Hakuna haja ya Uchaguzi walishasema zamani serikali haipatikani kwa karatasi,cha muhimu ni kuiacha CCM itawale milele,hkn demokrasia Tanzania ni mabao yamkono tu,hkn kingine,vyama vingi vifutwe ibaki ccm pekeyake

    ReplyDelete
  3. Sijui cuf wanataka nini zaidi kwani CCM wamesema tayari hawatoi nchi sasa ni kudanganyana tu ili mpigane ili mwage damu kwa maslaha ya wachache

    ReplyDelete
  4. mimi kama mimi mtanzania mpenda amani acheni ccm aongoze nchi kama tunataka tanzania awe tz tu, laa hivyo tz watageuka kitoweo, ninaomba cuf na ukawa kwajumla awe makini sana. kwani ccm hawatambui sheria walakituchochote kile...........tuombe Mungu tu basi Mungu ibariki Cuf ukawa,,na watanzania wote...

    ReplyDelete
  5. Mimi kinachonishangaza ni kuwa wapiga kura ni walewale waliopiga October 25, 2015. Sasa kama CUF wanaamini walishinda sasa iweje waogope kurejea uchaguzi kwani wanachama wao watakuwa ndio walewale walopiga kura mwanzo. Lakini kama hawataki kurejea kwa uchaguzi basi walifanya udanganyifu na janja ya Maalim Seif kujitangazia ushindi hata kabla ya kura hazijesha kuhesabiwa ili kuitia pressure tume na kuwafanya wafuasi wa chama chake kuamini kuwa kweli kashinda.

    ReplyDelete

Top Post Ad