GARI Aina ya BMW Anayomiliki Masanja Mkandamizaji Yawa Gumzo...Mwenyewe Awataka TRA Wakaikague Kama Hajalipia Ushuru

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mchekeshaji wa Orijino Komedi na mjasiriamali, Masanja Mkandamizaji amesema kila anachomiliki amekinunua kwa pesa yake halali huku akishangaa kwanini watu wameshtuka baada ya kuona anamiliki BMW yenye plate namba ya jina lake.

Akizungumza  katika kipindi cha 360 cha Clouds TV Ijumaa hii, Masanja alisema anamiliki magari mengi huku akidai BMW X6 ameinunua kama mtu mwingine anavyonunua baiskeli. "Mimi nina magari mengi sana na yote nayachukulia kama chombo cha usafiri cha kunitoa point moja kwenda nyingine,” alisema. “Sasa nashangaa watu wanaongea sana kuhusu mimi kwani gari kitu gani! Hiyo BMW X6 nimenunua kama watu wengine wanavyonunua baiskeli," alijinadi.

Aliongeza, "Na hata hao TRA kama wananisikia waje hapa Clouds nimekuja nayo ipo hapo chini ili waangalie kama sijailipia." Masanja alisema anafanya biashara za aina mbalimbali hivyo kununua gari la thamani siku kitu cha ajabu kwakuwa anaweza kununua kupitia biashara yake moja tu.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

17 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mbona kigari cha kawaida tu
    nilifikiri porche, lambugine, farari

    fyuuuuuuuuuu

    ReplyDelete
  2. daimond na masanja hela zao si safi,freemason

    ReplyDelete
  3. ASANTE MA-POUDAAAAAAAAAAAAA.
    ACHENI SASA.

    ReplyDelete
  4. Ewe mola mzidishie mja wako kwa kila kizuri akifanyacho!

    ReplyDelete
  5. Waafrika mnashindana nani ana magari mengi kuliko mwenzake na kusahau kuwa kwamba mnayaharibu mazingira yenu kwa hewa chafu na yenye sumu ambazo ni hatari kwa viumbe wote na pia kesho kuna watoto/wajukuu mtakaowaachia mazingira hayo hayo ambao nyinyi mmekazana kwa hali na mali kuyaharibu eti mnashangaa jua limekuwa kali mvua hazinyeshi kama ilivyokuwa zamani au zikinyesha zinaleta mafuriko na maafa mengi na magonjwa mengi kama hayo ya ngozi na kadhalika

    ReplyDelete
  6. HAYO MAGARI NI NINYI NDIO MNAYAONA YA KIFAHARI HUKO KWENU WAAFRKA HASA WATANZANIA.HIZO GARI HAPA UK NDIO ZA WATU MASIKINI KABISA AMBAO HAWANA HATA KAZI MAALUM.HIO GARI HAPA INAZUZWA SANA SANA KWA POUND ZA HAPA 2500 AU SAWA MNA SHS 6,500,000/(MILIION SITA NA NUSU TU TAANI HUKO KWETU MTU AKIWA NA MILLION KUMI NI TAJIRI SANA?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Stop lying. That car cost
      £33,995. Do your research well. And unemployed person can't afford.

      Delete
    2. hahahahah umenifurahisha mkurugenzi

      Delete
  7. hujui magari wewe, bmw x6 pound 2500? acha ujinga wewe, hilo gari si chini ya mil 150,angalia mtandaoni utaona

    ReplyDelete
  8. wewe bmw x6 unasema pound 2500? you are not serious. hilo gari sio FOB tu its more than 50,000 usd then ushuru hapa bongo unaweza kukuta kama 45,000 usd. so hilo gari ni kama 200,000,000.00 tshs, acha uongo, lingekuwa gari la bei rahisi wasingeliongelea. kama bmw x6 yapo ya bei hiyo niite ninunue hata magari kumi, watu bongo wana hela wewe, sio bongo ya zamani, rudi nyumbani ujionee sio kuhisi

    ReplyDelete
    Replies
    1. Unaposema bongo watu wana pesa na wewe ni mmoja wapo wa hao wenye pesa au kama kawa kuwasifia mafisadi wachache wanawabana mbavu watu dizaini yenu kuwa fulani ana hiki ana kile wakati wewew hapo ulipo hata mlo wako hujui utaupata vipi

      Delete
    2. Unaposema bongo watu wana pesa na wewe ni mmoja wapo wa hao wenye pesa au kama kawa kuwasifia mafisadi wachache wanawabana mbavu watu dizaini yenu kuwa fulani ana hiki ana kile wakati wewew hapo ulipo hata mlo wako hujui utaupata vipi

      Delete
  9. Here je Mimi hii bajaji yangu inanicost ngapi nimeshabadilisha tairi la kulia Mara tatu lkn wanangu wanalipa mchango wa upe bless me

    ReplyDelete
  10. ushamba ni mzigo, kwa hiyo hapo kwenye udaku ndio linakaguliwa au ni sawa na kusema na mimi gari langu hili hapa. acha ushamba muuza sembe.

    ReplyDelete
  11. Enter your comment...watu kwa kukoswa kaz mtu anunue gari nyie muwashwee na kuanza ku calculate bai linawahsu mbna mnaroho.ya korosho ivo wazen maisha yenu ivo v2 mbna vpo utapata na utanunua tena zaid ya hyo wivuuuu au shetwani

    ReplyDelete
  12. Enter your comment...watu kwa kukoswa kaz mtu anunue gari nyie muwashwee na kuanza ku calculate bai linawahsu mbna mnaroho.ya korosho ivo wazen maisha yenu ivo v2 mbna vpo utapata na utanunua tena zaid ya hyo wivuuuu au shetwani

    ReplyDelete

Top Post Ad