Miss Tanzania Ataka Namba ya Simu ya Mbwana Samatta

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

MSHIRIKI wa Miss Tanzania 2005 ambaye pia ni mcheza fi lamu, Maureen Gislary ameibuka na kutaka namba ya simu ya mchezaji wa timu ya Taifa Stars na Klabu ya TP Mazembe ya DR Congo,Mbwana Samatta kwa gharama yoyote.

Akizungumza na Amani Sports, Maureen aliyekuwa kumi bora katika kinyang’anyiro hicho cha Miss Tanzania kilichoshuhudiwa kwa Nancy Sumari kuibuka mshindi alisema kuwa, nia ya kuhitaji namba hiyo nikuhakikisha anamuweka Samatta ‘kibindoni’ kabla hajatimkia nje ya nchi.

“Kwanza nimefurahishwa sana na ushindi wake wa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Afrika kwa Wachezaji wa Ndani mwaka 2015, mwenye namba yake tafadhalini naiomba kwa gharama
yoyote nitatoa,” alisema Maureen.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Anataka kugegeduliwa huyo

    ReplyDelete
  2. huyu aliacha usagaji auxxx

    ReplyDelete
  3. Oops kioo huna bibi
    Mpira wa utauweza wewe

    ReplyDelete
  4. hawa nao wameanza wanataka kuharibu soka la samatha hamna maana kabisa nyie unatafuta coz saa iv anamafanikio sio miaka yote ulikuwa wapi?
    kichefu chefu

    ReplyDelete
  5. Na yeye anataka aonekane kwenye magazeti km wenzie Na story. Za kutengeneza but kiukweli black beautify natural colour

    ReplyDelete
  6. Lkn shoga yangu kwapa linataka ndimu au limau changanya Na sabuni ya kipande yeyote inasaidia sn

    ReplyDelete
  7. muuza kuma anasaka wateja. mwe maisha bongo ni shida kundi la vijana wamejitangaza kuwa mashoga. na huyu naye anajitangaza wateja wamuone anazuga kuomba namba. karibuni huku shambani tulime hoho zinalipa acheni usenge.

    ReplyDelete

Top Post Ad