Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
Kanuni mpya katika Kipengele cha ufungaji bora wa ligi kinasema, endapo Wachezaji wawili watalingana magoli basi mwenye idadi ya magoli machache ya penati ndio atakuwa mfungaji bora.
• Goli la Penati - Alama 1
• Goli la kawaida - Alama 2
Kwa kuwa Aziz Ki amefunga magoli mengi ya penati kumzidi Feitoto basi Fei atatangazwa kuwa mfungaji Bora msimu huu 2023-24.
FINAL GAME:
Yanga vs Prisons
Azam vs Geita Gold
Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA
Yaani hizi Sheria zinabadilika kuwa differ against Yanga, kuna mambo tff na bodi mnatakiwa muwe smart
ReplyDelete