Mama Diamond Akubali Kushindwa...Sasa kurudi Kuishi Tandale Kumpisha Zari Madale

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

KUNA madai kwamba, mama wa Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Sanura Kasim ‘Sandra’ yupo katika maandalizi ya kuhamia kwenye makazi ya Tandale alikokuwa akiishi zamani ili kumpisha mwanye na mama mtoto wake, Zarinah Hassan ‘Zari’ au mama Tiffah kwenye makazi ya Madale jijini Dar.

Kwa mujibu wa chanzo chetu, mama huyo au bibi Tiffah amefikia uamuzi huo ili kuepusha lolote linaloweza kutokea kwa kukaa beneti na mkaza mwanaye kwa vile ulimi hauna mfupa wala macho hayana pazia.

Jamani mnajua kama mama Diamond anataka kurudi kuishi Tandale alikotoka. Anampisha Zari na Diamond wake watanue kwenye mjengo wa Madale. Si unajua wamemzaa Lattifah ‘Tiffah’, ndiyo maana yule mama hivi karibuni kwenye moja ya magazeti yenu (Risasi Jumamosi) mlitoa habari na picha akisimamia ukarabati wa ile nyumba ya Tandale,” kilisema chanzo.

Asichotaka yule mama ni kuzozana na mkaza mwanaye. Unajua yeye ni mtu mzima, sasa kupishanapishana Kiswahili na binti kama Zari si sawasawa.”
Amani lilimtafuta msemaji wa familia hiyo ambaye ni Diamond mwenyewe na kuulizwa kuhusu madai hayo, alisema:

Hamna kaka. Ile nyumba ni ya familia. Nimeamua kuikarabati kwa sababu ni ya familia. Mimi nina mama, nina dada zangu, isingekuwa rahisi nianze kuikarabati nyumba ya Tandale ambayo ni ya wote. Ndiyo maana nilianza kujenga yangu kwanza kisha ya familia. Hata mama akienda kuishi kule kwani tatizo liko wapi? Si nyumba yetu?” alisema Diamond.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

22 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. It's private matter and family issue
    We are not intresting sorry

    ReplyDelete
  2. We need only music from him that's all otherwise he loose it's too much

    ReplyDelete
  3. bi sandra hata akiondoka, Zari hata kaa kashazoea kiguu na njia.

    ReplyDelete
  4. lol Dai atatafuta mchepuko.

    ReplyDelete
    Replies
    1. mpe mama yako maana povu mpaka kwenye tako

      Delete
  5. bi kizee atawafukuza mpaka mawifi hapo.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Tens ji wifi Kama wewe unayegawa dunia mzima
      Oops mtaro feri maji machafu yote yanaingia

      Delete
  6. Sio kushindwa bali that's life kuna wakati unafika kama mzazi you've to let it go huwezi kuishi nyumba moja na mtoto/wanao forever kama kutembeleana ni no sweat mshakuwa watu wazima mzazi ana faragha zake hali kadhalika mtoto nae pia kwa hiyo inakuwa sio fresh kuziona hizo faragha inakuwa sio katika mila na desturi zetu sisi waafrika

    ReplyDelete
  7. Bora arudi kwa baba take domo
    Nawe domo mwache mama
    Ugomvi wao wewe hakuhusu , tena furahi kuona baba Na mama wako pamoja tena
    Kama pesa zako si matapeli wangekuja kuchukuwa mama yako ili wapete pesa yako
    Bora baba yako domo

    ReplyDelete
    Replies
    1. We unaropoka hovyo bila kujua mateso waliyopitishwa na huyo baba, heri ukalambe sumu upumzishe ubongo mfinyanzi wako.

      Delete
  8. mmh si alisema ana nyumba kumi si angempa mama yake moja 😁😁😁 mashauzi .com

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hata akiwa nazo 100000
      Si yako mbona umefukuzwa kijitonyama Na kuiba umeme Na maji
      Lipa kwanza ufungue mdomo

      Delete
    2. Heeeeeh mweeeeeee yani unafikiri kila anaejibu kinyume na domo ni Wema mbona hupumui wewe wema anakutoa jasho, Bakheressa mwenyewe anadaiwa sembuse Wema fyuuuuuu fanya yako kijitonyama tushahama mama pole

      Delete
    3. Wema amtoe nani jasho yule form four failure haloooo, kutwa kwenye mahoteli kuhemewa apate hela ya mboga, mashangingi mna dhiki nyie.

      Delete
  9. Dai alisema kajenga nyumba nyingi zilipotelea wapi mpaka mama yake arudi kwa mtogole? kumbe na yeye ni muongo mkubwa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. We baba yako hata chupi umeshawahi mnunulia au una ngiri imekubania takoni kurukia usiyo na uwezo nayo?

      Delete
  10. bora kama karudi kwa mtogole uwezi kukaa mtu na mke mwenzie nyumba moja ukiwa una mkaza mwenzie anaona wivu.. kazi unayo.

    ReplyDelete
  11. Zari ovyooo tuuuh unafanya mtu na mazaake wasiishi pamoja mzee ww

    ReplyDelete
    Replies
    1. Vipeeee umelipia umeme lakini ha ha ah wenzio wamezalia kwenye mijengo yao wewe nyumba ya kupanga inakuua hebu tupishe sisi mashangazi twala raha.

      Delete
  12. na huyu bi kizee asitibue watu akae alee watoto 4 asituchanganye akili atabadili wanaume mpaka miaka gn asiyejijua

    ReplyDelete
  13. gazeti zima matusi kibao aibu

    ReplyDelete

Top Post Ad