Jack Wolper Nae Akiri Kujipendekeza Kwa Mwanamuziki Diamond Platnumz na Zari

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Jackline Wolper Katika Pozi
BAADA ya kupata wakati mgumu wa kushambuliwa na maneno kila akiweka picha mtandaoni ya Diamond ama Zari, staa wa filamu Bongo, Jacqueline Walper ‘Wolper’ ameweka wazi kwa kuwajibu, haoni tatizo kujipendekeza kwa hao watu.

Akichezesha taya na Amani, Wolper alisema kuwa, ilifika kipindi katika ukurasa wake wa Instagram watu wengi walikuwa wakimshambulia kwa maneno na kufikia hadi hatua ya kumtukana.

Kiukweli mimi ni binadamu, nashangaa ukiweka picha ya mtu ooh, anajipendekeza ni sawa najipendekeza ndiyo na wala siyo uongo lakini kuna mtu ambaye inamuhusu?” Alihoji Wolper.

Source:
Global Publishers

Udaku Special Blog
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Worper ni mnafiki sana, anadhani Zari hajui kama nayeye alishaliwa na Domo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Koma wewe wema team mtausaga Mtama
      Unafikiri domo anakutaka wewe fyuuuuuuu

      Delete
    2. Hata nililiwa si mwanamke mimi

      Delete
  2. hivi ile hasuri yake iliishia wapi? au ndo anataka kurudi kwa Dai kiaina.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Lipa umeme Na maji kabla hujaleta hapa
      Hapa kazi tu hatutaki madeni

      Delete
  3. hamuwezi kujua labda ni kipozeo cha Almasi, Zari akiwa ug

    ReplyDelete
  4. woote wachavuliwa chupi, hakuna jipya

    ReplyDelete
  5. hata ukijipendekeza awezi kukuchukua tena. uchi wako umeexpire kwa kubadilisha mboo kila uchao.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe umedalisha ngapi Kila mwanaume anakikimbia
      Una mtaro chini hata bulgoza linaingia
      Maji maji midebwede fyuuuuuu

      Delete

Top Post Ad