Membe Adai Wana CCM ni Wanafiki Hawataki Magufuli Akosolewe

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Benard Membe
Aliyekuwa waziri wa mashauri ya nje,Ndg.Membe amewajibu wanaotaka akae kimya kuwa hawezi kunyamaza na anatumia haki yake kikatiba bila kuvunja sheria.

Membe amewataka wajibu kwa hoja badala ya kumziba mdogo.
Membe ameongeza kuwa baadhi ya wana CCM wamekuwa wanafiki wa kutupwa na hawataki Magufuli akosolewe.

Atakuwa mstari wa mbele kutoa maoni huru kwa mambo yanayoendelea bila kuvunja sheria.
Amesisitiza kuwa rais Kikwete atakumbukwa sana kwa kuwapa watu uhuru wa kutoa maoni yao
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kweli kabisa!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  2. Mhe, Membe kwani lazima ucheze na media? wewe ni kiongozi na umetoka sehemu nyeti katikataifa hili , ina maana walifanya makosa waliokuona unafaa katika sehemu hiyo kabala haujawa waziri, basi hali unayoionesha sasa siyo leo umekuwa nayo toka ulipoajiriwa serikalini. Naamini watu wakirejea kwenye taarifa zako huko ulioanzia uenda watapata mengi. Wewe tunakueleza ustahili kusema hivyo kuna mengi nyuma yako utaibika mbele za umma wenzako wametulia wewe unaanza nongwa, muulize Mhe, Mbatia wenzake walimponza kila kitu akawa anasema yeye matokeo yake yeye ndiye mbunge pekee kutoka NCCR MAGEUZI. Kama kuna jambo nenda kamuone Dr Maghufuli umueleze linalokusibu , na kama amekukatalia basi kuna jambo ameliona kwako labda uantaka kumpoteza atoke kwenye ahadi zake kwa umma wa watanzania, kifupi wewe una matatizo.

    ReplyDelete
  3. CCM mwaga hawa oil chafu kina Membe wacha waende kwa wenzao UKIWANI sasa wanasikia uchungu wa majipu waliyoyalea kwa taarifa zake raia miaka 54 ya shida imewatosha Tinga tumbua mpaka kina Membes wakalazwe milembe kwa utahira

    ReplyDelete
  4. Hata wapinzani tunamshangaa huyu Membe,kuna jambo laja.
    kwanza jamaa ni tajiri wengine cha mtoto,amenufaika sana na jasho la watanzania.

    ReplyDelete

Top Post Ad