Nay wa Mitego Aoza Kwenye Penzi La Ex wa Prezzo Mrembo Chagga Barbie

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nay wa Mitego amedai amegundua mwanadada maarufu kwenye mitandao ya kijamii, Chagga Barbie aliyekuwa mpenzi wa rapper wa Kenya, Prezzo, ni mwanamke mwenye kila kigezo cha kuwa mama wa watoto wake.

Nay aliyekuwa akitoka kimapenzi na msanii wa filamu Shamsa Ford na baadaye kuachana, ameiambia Bongo5 kuwa mwaka huu atafanya surprise yoyote na mpenzi wake huyo.

Kusema kweli mimi na Chagga Barbie tunaendana sana,” amesema. “Mimi nina imani hata watoto wangu anaweza kuwalea. Suala la ndoa ni mpango wa Mungu lakini naweza kusema ndani ya mwaka huu kinaweza kutokea chochote kikubwa kwa sababu mimi natumia 966 kama codes zangu na huu mwaka ni 2016 vyote vinashabihiana. Kwahiyo naweza kusema huu mwaka utakuwa mzuri sana kwangu,” amesisitiza.

Chagga Barbie alijipatia umaarufu baada ya skendo ya kuachana na Prezzo kwa kuchafuana kwenye mitandao ya kijamii.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. huyu nae hao madem utafiikiri aliwapaniaga kabla hajawa star manake anavyowavua chupi dah mpaka kero kama sio hip hop bhana si uwe na dem mmoja mwanaharakati sio kila dem unamchungulia coz una vijisenti

    ReplyDelete
  2. Wahenga walilonga kuwa MAFAHALI WAWILI HAWAWEZI KUISHI KWENYE ZIZI MOJA so Mr.lover man u gotta think twice'n'careful before something hit u

    ReplyDelete
  3. Since when a long distance L.O.V.E works?

    ReplyDelete

Top Post Ad