AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Naombeni ushauri wadau,
Karibu wiki sasa nime hack Facebook, Whatsapp ya mpenzi. Awali sikutaka presha ya kujiumiza roho hivyo sikutaka kumfuatilia.
Juzi kati nikajaribu mautundu yangu.. Yesuuuu na Maria. Anachat na wanaume huyo! Sina amani, moyo unaenda mbio kila saa. Najuta kufanya hivyo maana amani yote imepotea.
Nisaidieni wadau nifanyeje maana nampenda kiama.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
kama sio mkeo si umuache tu ila kama ni mkeo jikaze kiume ongea naye no way out.
ReplyDeleteEnter your comment...majungu cyo mazuri jmn
ReplyDeleteMmmmh
ReplyDelete