Wakazi Ubungo Walalamika Kuhusu Mbunge Wao Wadai Kazi yake ni Kugombana na Kina Zitto na Makonda

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ndugu zangu wana JF kama kuna wabunge majipu basi mbunge wangu wa Ubungo Mh Kubenea ni jipu na linaitaji kupasuliwa.

Naamini wana Ubungo mtakubaliana na mimi kuwa kwa miaka hii mitano tumekula shoti kama sio loss.

Ubungo maji kwa wiki yanayoka mara moja wakati mwingine yanaweza yasitoke kabisa, Ubungo imejaa vibaka yani ukisahau jeans yako nje ndo nitolee, Ubungo wafanyabiashara ndogo ndogo wanapata shida, Ubungo barabara za ndani hazipitiki, Ubungo kuna kila aina ya matatizo.

Cha kushangaza tangu tumchague Kubenea sijasikia akiongelea matatizo ya Ubungo zaidi ya kupambana na Zitto , Makonda na wengine katika magazeti yake.

Mbunge huyu ata akichangia bungeni ni pumba tupu Ubungo tumezoea wabunge wenye uwezo wa kujenga hoja sio huyu Kubenea pamoja na kwamba Mnyika hakufanya makubwa sana ila afadhari yeye alikuwa ni mbunge wa kitaifa zaidi hakuna ubishi wanaubungo kwa Kubenea tumekula loss.

Source: Jamii Forums

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

18 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. CCM kwa uchonganishi

    ReplyDelete
  2. na juzi kawadhalilisha wanawake bungeni

    ReplyDelete
    Replies
    1. Koma wewe msenge au msagaji usiye na kichwa wala mguu

      Delete
    2. hahha nyie mnachagua vilaza
      mnadhani kuongoza jimbo ni sawa na kuongoza kampuni ya magazeti ya uchochozi
      na bado anapumba huyo jama yenu mtaombaa ajiuzulu

      Delete
  3. CCM kwa propaganda,mnatishaa

    ReplyDelete
    Replies
    1. acha usenge na wewe ccm wanaingiaje hapooo?????

      Delete
  4. Ha ha ha muacheni mwenzenu ameenda kusafisha nyota Tu bungeni, angepataje umaarufu sasa bila kuwachokonoa majembe nguli ya mjengo

    ReplyDelete
  5. Ccm mtaisoma number ubongo hatuchagui vilaza wa cccm,nendeni mbagala au kigamboni mkawaambie huo ujinga.

    ReplyDelete
    Replies
    1. pumbavu huna akiri maana hata moja jumlisha moja hujui jibu lake mshenzi kabisa

      Delete
    2. ndio maana ubungo kumejaa mashoga ya ukawa

      Delete
    3. Jamani hili gazeti hakuna muda km vinavyotawala Ni matusi Na kudhalilishana mtukane mtu kwa hoja sio mitusi kila kukicha mdau namba ONE

      Delete
  6. mliwachagua wenyewe kuanzia ikulu mpaka ubunge ni nguvu ya thoda

    ReplyDelete
  7. hiyo ya kusema wakazi wa ubungo wanalalamika ni uongo. usitusemee uongo. kama una chuki zako binafsi tafuta mahali pa kuzimalizia. Lakini kwa hili tunasema NO!!!!! usitisemee. hilo ni jembe tumelichaguwa wenyewe.

    ReplyDelete
    Replies
    1. mimi nilifikiri unavyojiita mdau wa ukweli nikafikiri kweli una akili kumbe hamnazo yaani katika marofa na mabwege wewe ni mmojawapo. hata mimi ni mkazi wa ubungo hajafanya lolote zaidi ya kugombana na watu wengine. uwe unachangia vitu vinavyoeleweka siyo kuandika vitu vya kisenge pumbavu kabisa

      Delete
    2. hilo jembe lenu linatia aibu tuu uko ubungo na bado mtakoma kuringa
      zungusheni mikono sasa maji yaje kuma nyie

      Delete
  8. Mvumilieni akikua ataacha

    ReplyDelete
  9. Kubenea anategeshea pesa ya kumpeleka check-up India. Ubungo imekula kwenu....

    ReplyDelete
  10. wa tz kwa MAJUNGU,. kwani hao viongozi na wawakilishi wenu wamemaliza miaka mingapi toka muwapigie kura??. ndo kwanza wameanza kutumbua majibu, bado mapele na machunusi, nyi huku mshaanza kukoroga majungu utadhani mnalipwa poleni walala sebuleni.,

    ReplyDelete

Top Post Ad