Aliye Hack Account ya Instagram ya Petit Man Afunguka Makubwa..Atoa Sababu Sita Kwanini Ameamua Kuiba Hiyo Account

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mpambe wa Wema Sepetu anayejulikana kwa jina la Petit Man Amepoteza account yake ya Instagram yenye followers 679 baada ya mtu mmoja kuihack na kubadili jina na kujiita @tatizo_ni_umaskini kisha kufuta picha zote na kuweka moja kisha kuandika ujumbe huu hapa chini:

Tatizo_ni_umaskini 
Nimeamua kubeba AC ya huyu bwana kwa sababu zifuatazo
_____________________________________
... 1: Ukimueleza shida yoyote ile iwe salamu au nn kupitia whatsapp unaambulia matusi.. tena matusi makubwa kweli kweli..
2:Nataka ajifunze kua ye sio mjanja ila tupo wajanja zaidi yake
3: Ntatumia hii AC kufanya biashara za matangazo.. na namba ntaweka na hakuna wa kunikamata Bongo hiii ya wazembe labda huko Mbele(USA)
4:Kama we ulidhani mi fala kuhack hii akaunti bhas we ndo fala zaidi...
5:We si ulikua unatumia hii akaunti kupost picha tu?? Mi ntatumia hii kutafuta hela
6:Mkizingua saana ntaenda kuidelete tu hii AC
__________________________
TATIZO NI UMASKINI.. TUNA ELIMU AF HATUNA HELA TUFANYE NN?
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. "BONGO YA WAZEMBE" nimeipenda hiyo.......na ni kitu na ukweli.

    ReplyDelete
  2. Hahahaaaa!!! kwani uwongo, bongo hii wazembe ni wengi, watu wana elimu zao, bali kuzinguana tu

    ReplyDelete

Top Post Ad