AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Kwa mujibu wa chanzo makini ambacho ni mtu wa karibu wa Rayuu, ndoa hiyo ilitarajiwa kufungwa kwa siri Ijumaa iliyopita nyumbani kwao, Kigogo jijini Dar bila mwaliko wa marafiki zake ili ishu isivuje.
Baada ya kunyetishiwa ‘ubuyu huo’, mwanahabari wetu alikula mingo jirani na nyumbani hapo hadi cherekochereko ilipoanza ndipo akatinga ndani huku ishu hiyo ikiwa imehudhuriwa na watu wachache bila wasanii wenzake.
Hata hivyo, baada ya kufanikiwa kunasa tukio hilo mwanzo hadi mwisho, Ijumaa Wikienda lilimbana Rayuu na kumuuliza kulikoni kuolewa kimyakimya tena bila wasanii wenzake wa Bongo Muvi ambapo alisema hakutaka matangazo ndiyo maana akaona bora aifanye kwa siri kwani si wote wangefurahishwa na hatua hiyo.
“Sikualika msanii hata mmoja maana ni ndoa ya siri, nimealika ndugu wachache tu ila nitawaalika kwenye sherehe mwishoni mwa mwezi wa tatu.
“Najua wengi watashangaa wakisikia nimeolewa maana watu walikuwa wakinisema vibaya kuwa sijatulia sasa nimewathibitishia kuwa nimetulia,” alisema Rayuu.
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
USIOLEWE NA MWARABU ATAKUTIGO.
ReplyDelete