Huyu Ndio Lady Boss wa Ukweli Sio Hao Wengine Kutwa Kucha Kutuigizia Maisha Feki Instagram

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Anaitwa Jacqueline Ntuyabaliwe aka K-Lynn Miss Tanzania 2000 na Mwanamuziki, Mke wa Bilione Reginald Mengi........

Nimekutana na Comments Mbali mbali Instagram Baada ya Picha hii kuzagaa mitandaoni leo hii
embu na wewe jisomee baadhi ya comments kutoka Instagram;

fetttyy 
Huyo ndo boss lady Africa nzima ndo hapigi kelele wala kujionyesha onyesha anajua anazo lakini hawa visokorokwinyo wengine ngachoka miyeeee kutwa kutuigizia insta

mariebellahfonte 
Njoen mumuone boss lady Wa ukweli



 angie_jansie 
Watoto wa kigoma hatunaga makuu huwa tunasemaga papa Asante kwel wewe ni Mungu tu.....


 paulina_minango 
Kwakweli huyu ndie bosslady wengine wanatafuta kiki tu mjini anajielewa huyu dada mrs mengi#jn_mengi


hallopkingu 
@kittynswe ahaha nilijua ni mm tuu ndo namkubali huyo bosslady.. woman of class


tedysilla___ 
Nampenda mnooo uyu dda anajielewa michirz angekuwa na maisha kama ya uyu dda tungekoma


----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Boss lady anatafuta mwenyewe tangia mwanzo,boss lady unakuta tayari Mali zipo huyo tunaita boss kitonga.

    ReplyDelete
  2. wekeni na picha ya mke mkubwa wa mengi naye ni boss lady.bos lady mchepuko

    ReplyDelete
  3. ladies fanyeni kazi acheni kutegemea sana wanaume
    apa bongo kuna madem kibao wanapesa hata huo mchepuko wa mengi unasubiri na wako kimya hawana mbwe mbwe
    huyo mpaka achukue kwa mzee
    kweli huyo boss lady kitonga kazi kuiba wanaume wa wenyewe ngoja na wewe huibiwe

    ReplyDelete

Top Post Ad