Maskini Jamaa Auawa Baada ya Mpenzi Wake Kumwita Mwizi Chuo cha SAUT Mwanza..Alikuta Message za Mwanaume Mwingine Kwenye Simu ya Mpenzi wake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kwa masikitiko makubwa tukio tajwa hapo chini limetokea Chuo cha SAUT Mwanza ambapo Jamaa wa jinsia ya kiume ,alienda kumtembelea mpenzi wake chuoni SAUT bweni la RUGAMBWA,

Ukweli ni kwamba huyo jamaa na huyo demu ni wapenzi wa muda mrefu na pia jamaa sio mwanafunzi ni raia wa kawaida anayehusika na mambo hasa ya modeling na amekuwa akiandaa event mbalimbali kama mtakuwa na kumbukumbu vizuri kuna kipindi kulitokeaga shindano la MISS ALBINISM lililofanyika Mwanza huyu jamaa alikuwa miongoni mwa wahusika wa hilo shindano,na siku tatu zilizopita huyu jamaa alitoka kumzika baba yake mzazi.

Kilichotokea hapo ni baada ya jamaa kwenda hosteli za wanawake ambazo zipo ndani ya chuo ambapo ndipo alipokuwa akiishi huyo demu wake, katika kukagua simu ndipo akakuta sms za utata, ukatokea ugomvi katika mabishano demu akasema atamwita mwizi kama utani kweli demu akaita mwizi.

Jamaa kwa kuogopa na sababu hakuwa na kitambulisho ndipo akatoka mbio, hapo ndipo alipoharibu wananzengo na wanachuo bila kujali wakaanza kupiga na mpaka wanafika polisi alikuwa kapigwa sana, alipelekwa kituoni kutoa maelezo. Baada ya hapo ndipo tukapata taarifa kafariki na hiyo ni sababu ya kipigo.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ni kweli wanawake ni Mama zetu,Ila kiukweli wanawake wanaroho mbaya sana, kijana Wa watu kapoteza maisha

    ReplyDelete
    Replies
    1. kama mmegundua wana roho mbaya msiwafate.

      Delete
  2. OMG!!!!!!!!!!!!!!!!Wanachuo kaka zangu sio mademu wa kudeal nao 90% ya watoto wa chuo ni kahaba ko ukiingia huko pls msiingie mazima wale ni wake za matajiri tena matajiri zaidi ya mmoja.....pole kaka yetu kwa yaliyokukuta ...R.I.P

    ReplyDelete
  3. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  4. R I P. BINTI UNAJISIKIAJE ALIYESABABISHA MAUAJI???????????

    ReplyDelete
  5. Jamaa kafariki sababu ya kuma? Kwani Kuma za Watanzania tamu vipi?

    ReplyDelete

Top Post Ad