Mwanaume Mmoja Amewaua Watu 14 wa Familia Yake Kwa Kuwachoma na Kisu Wakiwa Wamelala...Kati yao Wawili Walikuwa Wazazi Wake.

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mwanaume mmoja nchini India amewaua watu 14 wa familia yake kwa kuwachoma na kisu wakiwa wamelala, 2 kati yao walikuwa wazazi wake.

Saba kati ya waliouawa ni watoto

Polisi wasema kuwa waliitwa katika nyumba moja katika kijiji cha Thane, karibu na Mumbai na majirani waliomsikia mwanamke akipiga kelele akitaka asaidiwe.

Mwanamke huyo, ambaye ni dada ya muuaji, alikuwa wa pekee katika familia hiyo kunusurika mauaji hayo ya kikatili.

Maafisa wa upelelezi wanasema inawezekana kuwa mtu huyo alifunga milango yote kwa ndani kabla ya kuwaua jamaa zake.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad