Rais Magufuli Asema Watu Wasishangae Paul Makonda Akipanda Cheo Kazi yake Imeoneakana

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Magufuli akiongea na Wazee wa Dar es Salaam leo Amemsifia Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda na Kusema siku akipanda cheo watu wasinung'unike, kazi yake imeoneakana na heshima yake imeonekana

Hongera Makonda. Nyota yako imewaka. Mh Raisi kakuona... Sasa usiende kulala.

Nadhani leo Mbunge wa Ubungo (Mh Kubenea) ataugua homa...
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

19 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. huyo dogo mjanja anajua kucheza na vyombo vya habari ndo maana kazi zake zinaonekana

    ReplyDelete
  2. Ampe hata uwaziri, ubalozi , ukuu WA mkoa haijarishi
    Ili mradi tunamjuwa ni chakula cha bwana
    Yetu macho
    Lakini kila kitu kina mwisho

    ReplyDelete
  3. Wala mshipa haunigongi Kubenea
    Kuchaguliwa kwa kura za wanainchi kuna heshima kuliko kuteuliwa kwa kudhalilisha wapinzani Watanzania si viziwi wala vipofu
    Yale Yale ya Marehemu Mwangosi
    CCM haiachi jadi wala asili

    ReplyDelete
    Replies
    1. Tetesi,wanasema kubenea nae ni shoga,je wewe unaamini hilo?

      Delete
    2. Hata Makonda shoga
      Mahips Na matako makubwa mtoto WA kiume

      Delete
  4. Mmmh sasa huko mbali anapiga kz hapigi Hilo ndio swali sio kuleta maneno ya kiluga kazi anapiga saaafi Mr Makonda

    ReplyDelete
  5. Kubenea aumiye kwa lipi
    Mchicha mwimbwa
    Kubenea chaguo la Na sauti ya watu

    ReplyDelete
  6. Siku zote wahenga walisema kuwa "uungwana ni vitendo" Makonda anastahili kusifiwa kwa asilimia 100 kutokana na kile anachokifanya kila kukicha, nadhani ndo mkuu wa wilaya anaye wajibika kuliko wakuu wa wilaya wote hapa nchini. Ndo maana watu wenye akili zao timamu wanaliona hili ila wale wenye ROHO ZA HUSUDA hawawezi sifia mafanikio ya mtu wanayemuona kama adui yao. Heko MAKONDA NA IKIWEZEKANA WAKUPE TU HATA UKUU WA MKOA, ILI WENYE ROHO ZA U NEGATIVITY WAZIDI KUKONDA

    ReplyDelete
  7. Kwa hips zako Makonda Na sura hukosi kuuzika
    Chonde Chonde Dubai yupo mwenyewe

    ReplyDelete
  8. Hivi nyie watu wa huu mtandao. Mtatoaje msg mbaya za lugha mbaya, chafu kama hizi ? Naomba wizara husika iliangalie hili. Watu wanadhalilishwa mno kwenye hii mitandao. Tunasoma habari hizi kila siku tujuwe mambo yanayo endelea nyumbani.
    Lakini una kutana na lugha chafu matusi.
    Wizara husika hawa wenye mitandao. Kwanini msiwafungie hii mitandao yao. Tusome magazeti ya mengi kama zamani ?

    ReplyDelete
    Replies
    1. kwani hatujui makonda ni shoga

      Delete
  9. Hayo ndio yanayoturudisha nyuma majungu kazi anapiga Na yeye nae Jembe

    ReplyDelete
  10. safi sana makonda
    kubenea na wenzake waaendelee kuzungusha mikono
    manake yetu macho miaka mitano itaisha na ubungo iko vile vile

    ReplyDelete
  11. Maneno ya kusikia hayatakiwi,ajiseme mwenye uhakika.

    ReplyDelete
  12. Hongera Mh, makonda ongeza juhudi utafikia malengo.

    ReplyDelete
  13. Hongera Mh, makonda ongeza juhudi utafikia malengo.

    ReplyDelete
  14. Endelea kuipaisha kinondoni dogo,waache waliozoeza kufoka(kubenea)watokwe mapovu tu.

    ReplyDelete
  15. Bi mkubwa yupo Dubai ka nunuliwa nyumba Makonda ulie tu hata upate ukuu WA mkoa

    ReplyDelete

Top Post Ad