Sakata la Umeya Dar: Mbunge wa Kawe, Halima Mdee Amejisalimisha Polisi Kuhojiwa Kufuatia Vurugu Zilizotokea

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mbunge wa Kawe Halima Mdee amejisalimisha mwenyewe Polisi kutokana na sakata la umeya wa jiji la Dar es Salaam, ambapo muda mfupi baadae jeshi la polisi lilizingira nyumba yake kwa lengo la kumkamata.

Halima amewasili akiwa na wanasheria wake baada ya kupata taarifa kuwa polisi wanamtafuta kwa udi na uvumba wakimuhusisha na "vurugu" zilizotokea wakati uchaguzi wa Meya wa Jiji
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad