Sio Dimpoz tu, Wema, Shetta, Choka, Ray, Shilole, BASATA nao ni wahanga wa ngoma mpya ya Nay wa Mitego

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nay wa Mitego amechafua hali ya hewa tayari.

Wimbo wake mpya Shika Adabu Yako umejaa controversy kibao.

Ommy Dimpoz amejibu tayari kwa kile alichoambiwa. Soma hapa.

Lakini kuna wahanga zaidi ya Ommy. Wapo pia Wema Sepetu, Shetta, DJ Choka, Ray, Shilole na hata BASATA. Hii ni baadhi ya mistari yenye utata:

Bongo Movie imekufa wamebaki kuuza sura
Wote wanataka kuimba ka Shilole na Snura
Ray Kigosi kawa mkongo hadi leo anaishi kwao
Hela za kuuza movie zote ananunua mkorogo
Kama ni umri umeshaenda, au bado anajiona dogo?

Kama ni vumbi litaruka na mikia watafyata
Hizi taarifa zangu na ziwafikie BASATA
Nyie ni kuku au bata? Msumeno usiokata
Kazi kufungia nyimbo, mnajua shida tunazopata?
Hamjui wajibu wenu, mngekuwa watoto nshawachapa

Na wasanii wadananda, ila Shetta kazidi
Huyo ndo baba Qaila (okay!)
Gari kapewa na Chief Kiumbe utasikia, “my new ride!”

Huyu jamaa anajiita Dimpoz, Poz kwa Poz
Wanae wanalalamika hawamjui shemeji
Kitaani kuna tetesi mwana hapigi mechi
Mara oh jogoo hawiki, huwa haonyeshi shemeji

DJ Choka daily bata, hivi hauna familia?
Nasikia hata nyumbani huna godoro la kulalia

Wema Sepetu una mimba kweli, au ndo kiki za msimu?
Miezi tisa sio mingi, isije ikakugharimu
Na siku hazigandi tayari ushakuwa bibi
Na unakoelekea utatafuta kiki hadi kwa Fid
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hiyo ndo hip hop sijaona kosa ila kwa ray kigosi ni ukweli mtupu na bongo movie yake

    ReplyDelete
  2. Mbona ni nyimbo nzuri tu. Sio lazima kuimba mapenzi kila siku. Hata ule wa Roma ulikuwa bomba!! Na hii ikifungiwa na Basata ndio watadhihirisha ujinga wao.

    ReplyDelete
  3. Hip hop ujinga ya kuiga iga tu hana lolote. Wenye hphpb hawadhalilishi. Wanatoa mashairi yenye ladha nzuri bila kutaja majina na hulka ya mtu live. Basi naye wamtungie wimbo rasmi kwa jina lake na tabia yake kuzaa ovyo ovyo na kubadili www si ndio? Basata oyee. Linda hadhi ya watz tusiige MZIKI UJINGA. . Anamwonea wivu Ray - handsome boy au? Wema ndio kabisa amkome mtoto wa watu. Mungu amjalie ajifungue salama. NEY KANIUDHIII!

    ReplyDelete
  4. Huyu NEY Kuna vitu amezidisha kipimo kwa nini yupo WA ajabu hivi ngoma zenyewe Hana anakurupuka Na majimbo ya ovyo .kaa chini tuliza akili toa kitu cha maana km vijana wenzio

    ReplyDelete
  5. mbona hajamtaja rafiki yake Dai anajimama na DNA hajapima?

    ReplyDelete
  6. HAJAMSTUA ALMASI ANALEA MTOTO WA BANDIA?

    ReplyDelete
  7. Anajita TRUE BOY, mbona yake hayaimbi?? Hebu aongeze ubeti huu kwenye hiyo nyimbo yake:- Yooyooo 'nimemkuta mwanaume mwenzangu, ktk kitanda changu, kavaa boxer yangu, anakula tunda langu Siwema mama mtoto wangu' yo yo 'haohao bongo movie, pamoja na kuuza sura zao, nimeopoa mmoja wao, na nina mchapa nao Shamsa Ford mama lao' yo yo 'kwani vepe' sikai na wanawake 'kwani vepe' ninawatoto watatu 'kwani vepe' kila mtoto na mama yake 'kwani vepe' nilishavuta bangi sana 'kwani vepe' sasa zinanidhuru jamani 'kwani vepe' I AM FREEMASOOOON

    ReplyDelete
  8. Hahahhahahhhahahhahahaaha jamani jamani jamani anony 1.46 uwiiiii umenimaliza kama.ni mbaba sijui nikupate wapi nikupe zawadi daaah yani nimecheka mapka mume wangu kakereka aiseee aah koment yako nomaaa hahahhhhahah hahahah hahaha daah yu murdered that chimpanzee akiongezea ubeti huo lazma alazwe ICU

    ReplyDelete
  9. Cha anoy 1:46 wewe wa WApi chekesha Mie mpaka nataka kupewa talaka dah unatisha tayari beti hiyo maana kijana nae analazimisha kutoka au anataka dili vodakom

    ReplyDelete
  10. Anony 1:46 we noma saaana aiseeee hahahahaha mbavu zangu mieeeeee

    ReplyDelete

Top Post Ad