Tathimini: Naibu Spika wa Bunge Anayumbishwa na Bunge, Awe Mtulivu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Toka bunge la 11 limeanza nimeshuudia uongozaji wa bunge kwa spika na naibu wake pamoja na wenyeviti.

Ila kwa tathimini ya haraka niliyofanya mpaka hapa bunge lilipofikia,na kiri wazi naibu spika Tulia ndio kaonyesha kushindwa,Amejawa na hisia na gadhabu na si mvumilivu.

Yapo mambo madogo anayostahili kuyaacha kama changamoto lakini amekuwa akipaniki na kung'aka
Tuelekeapo asipojirekebisha kiti kitampwaya na bunge litakosa mwelekeo,Ni vema Mhe.Tulia ajifunze utulivu alio nao Spika na wenyeviti.

By Kibo10/JF
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Atatulia vizuri tu mwanzo huwa mgumu hasa ukizingatia kwamba ni mgeni kabisa ndani ya mazingira ya Mjengoni angalau angetokea kwenye ubunge ingemsaidia kidogo kuyaelewa mazingira.lakini kwakuwa ni msomi tena wa sheria na mhadhir alobobea nina hakika atakuja kuwa mahiri sana na ataweza kuliweka bunge sawa.Najua wengi walimpinga toka mwanzo hasa upinzani kwani wanajua huyo ni kiboko yao kwenye anga za sheria hawawezi kuliyumbisha Bunge tena kama walivyozoea. Usikatishwe tamaa mh. Naibu najua kuanzia kikao kijacho ndio wataona umahiri wako halisi kwani utakuwa umeshawasoma wabunge wote kwa majina na uwezo wao.HAPO NI KAZI TU.

    ReplyDelete
  2. Atatulia vipi Mtu aliyebebwa Na dr migiro hata kuzaa alizalia nyumbani kwa dr migiro wakati migiro akiwa naibu katibu mkuu WA UN
    Ana kiburi Na dharau huyu mtoto Kisa anaijuwa Siri zote za CCM waliombeba

    ReplyDelete
  3. Kikwapa bado unanuka shoga Kumbuka ya loleza Na zanaki Na UDSM

    ReplyDelete

Top Post Ad