VIDEO: Waziri Muhongo Atajwa Kuvujisha Ziara ya Waziri Mkuu Kwa Meseji

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kumekuwepo na Watu waliokua wakitetea kwamba Waziri Muhongo hajamtumia Meseji meneja wa kurasini oil Jetty kuhusu ziara ya Waziri Mkuu.

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo na Mizani, Bibi Magdalena Chuwa, amemtaja live kwamba, ametumiwa Meseji kutoka ngazi za juu, alipoulizwa na Waziri Mkuu ngazi za juu zipi zitaje, ndipo akasema alitumiwa meseji na Waziri wa nishati na madini Mh. Prof. Muhongo kwamba, akitupa maelekezo kwamba within 24hours, hizo mita zianze kufanya kazi.

Angalia Mwenyewe Video:


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Haya akanushe tena

    ReplyDelete
  2. Mawaziri mizigo hao
    Huyu bibi kasema ukweli Na tumesikia
    Magufuli nchi ilikuwa ikiendeshwa hivyo awamu ya nne
    Kimeno au massage
    Kwani majaliwa hajui shemeji yake alivyokuwa akitawala
    Msimuoneeeeeee mama WA watu

    ReplyDelete
  3. Magufuli kuna tofauti ya taaluma Na vyeo kisiasa
    Fukuza huyu Hana maadili Kama uprofessor aende vyuoni
    Akafundishe

    ReplyDelete
  4. Tatizo hapa mke mdogo WA kikwete ana kampuni kibao za mafutaaaaaaaa
    Tanzania
    Hawa kina mtawaonea tuuuuu

    ReplyDelete
  5. Magufuli fukuza Na wasaidizi wako waliokukataza kwenda kuona wodi ya ya wazazi Muhimbili Kwani inaonekana wanajuwa uozo mwingi Na huenda hawa wanatoasiri kwa ziara zako za kustukiza

    ReplyDelete
  6. Raisi aliyepita na familia yake wanahusishwa sana na mambo haya. Magufuli umelazimishwa na taisi aliyepita umrufishe mihongo kusudi atrkeleze maslahi zao. Umemsikia fume wa marekani ana yowadharalisha. Ni aibu kws watu weusi kufivhiana, muibia madkini na kunyima uhuru. Mjibuni huyu. Atswsrngua. Mtoe muhongo anayemfanyia migogo unayeshindwa kumtumbua. Wewe umechaguliwa na watu na si kimwogopa kikwrte na familia yske. Ukwi huu utsuficha mpaka lini. Mama kawaambieni zmuhongo mhujumu na muongo. Anasema hajachukua hongo ukweli umejitokeza hapa. Utazidi kudanganya Taifa tena?

    ReplyDelete
  7. Muhongo ameingia choo cha kike haponi kwa tingatinga bahati hairudi mara mbili hili angejitambua akajirekebisha kwani serikali ya tinga iliyopo ni ya haki imeletwa na Mungu kuwaokoa watanzania sasa kwa kudra zake Mwenyezi Mungu wanaweweseka hovyo kujitaja bila uoga kweli Magufuli kiboko

    ReplyDelete
  8. muhongo ni jipu

    ReplyDelete
  9. Si akafundishe tu huko viuoni mambo ya siasa ayache kwa wanasiasa

    ReplyDelete

Top Post Ad