Babu Tale: Niko Tayari Kumsaidia Msanii yeyote Anayetaka Kuacha Madawa ya Kulevya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Meneja wa Diamond Babu Tale katamka kuwa yuko Tayari kumsaidia msanii yeyote yule ambaye yuko tayari kuacha madawa ya kulevya, kasema milango iko wazi kama ambavyo kamsaidia Chid Benzi ambaye kapelekwa sober House Bagamoyo.

Pamoja na hayo kadai haikuwa kazi rahisi kwa Chid Benzi maana pamoja na kumpeleka sober bado alikua "akistua" njiani, njia nzima alikua akivuta hii midude.

Mungu ambariki sana huyu jamaa
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. alisaidiwa Ray c na kiongozi ikashindikana sasa hivi Ray c karudi kule kule alikotoka ndiyo itakuwa wewe, unacheza na mateja wewe mateja ni wabishi hata wakichapwa fimbo hawasikii ni heri hata mlevi wa pombe inakuwa rahisi kumsaidia, ngoja Chid Benz atoke huko sober house atarudia tena kula unga tena huyo ndiyo kabisa haonekani kuwa ni mtu wakuacha madawa. Goodluck babu tale

    ReplyDelete

Top Post Ad