Beyonce Kavua Pete ya Ndoa Aliyovalishwa na Jay Z...IS IT OVER?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Beyonce na Jay-Z wanazidi kuandamwa na taarifa za kuachana na kupeana talaka. Taaarifa hizi zimepewa nguvu na kitendo cha Beyonce kwenye sherehe ya siku ya kuzaliwa ya rafiki yake Kelly Rowland aliyefikisha miaka 35.

Mtu aliyekuwepo kwenye pati hio anasema “Beyonce alivua pete yake na kuiweka juu na kusema hii ni mara ya mwisho ataonekana amevaa pete hio,marafiki walibidi wamtulize”

Jay Z ’46’ na Beyonce wamekuwa wakizungukwa na taarifa hizi kwa muda mrefu sasa.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mtasubiri sana.

    ReplyDelete
  2. Kwa Nini nyie udaku mnapenda kushadidia mambo ya kuachana na kugombana kila siku .badilikeni kidogo

    ReplyDelete
  3. Haaaa udakuziiiiiii,,,,,mtasubiria sanaaa wenzenu wana renew vawels every dem year ya anivesary zao Ndoa na kuvalishana New Wedding ring,,,,,pole mawazo mgando unafukiri ukivalishwa pete haivuki hatakama ni ya shaba.

    ReplyDelete

Top Post Ad