Juma Nature Adai Mshindani Wake Kwenye Muziki kwa Sasa ni Diamond

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msanii mkongwe wa muziki, Juma Nature amedai msanii pekee ambaye anaweza akashindana naye kwa sasa ni Diamond.
nature

Akizungumza na tovuti ya Times Fm, Juma Nature ameomba wadau kuandaa tamasha ili washindanishwe.

“Watu wanamtukuza sawa lakini watuweke stage moja tuone nani atakamua, unajua tuseme ukweli bongo flava sasa mimi na Diamond ndio wapinzani pekee,” alisema Juma Nature.

Aliongeza, “Watu waandae pambano, na mpunga pia uwepo nioneshe na mimi nguvu yangu ilivyo mtaani,”

Nature amesema anaamini muziki wake aliyokuwa anafanya zamani una nguvu kubwa kuliko huu wa wasanii wa sasa.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. nature acha vituko lini mara ya mwisho ulitoa hit song?labda useme ushindani na wakongwe wenzako,lakini usitafute kiki kwa mondi bin laden.

    ReplyDelete
  2. dangote atakuaibisha na hizo bangi zako

    ReplyDelete
  3. Kweli sigara ya bangi kiboko yao ukiwa njwiiiii unaona kila kitu kwako ni rahisi tu hahahahaaa bangi noumer kwa vichwa vya panzi

    ReplyDelete
  4. HA HA HA HA ANATAFUTA KIKI JAMANI HUYU !!!UNATAKA KUTOKA SASA KUPITIA DIAMOND.JUMA WEE ZILIPENDWA TAFUTA NAMNA YA KUTOKA ILA SIO KUSHINDANA NA DIAMOND.

    ReplyDelete
  5. Bangi tupu hapo!!!

    ReplyDelete
  6. huyu naye kafufukia wapi tena?? ameacha kupaka kinyesi chake kwenye nyumba za watu?

    ReplyDelete

Top Post Ad