Lowassa Afunguka Mazito Kuhusu Wanachama Wanaofukuzwa CCM Wakituhumiwa Kukisaliti Chama Kwa Kumuunga Mkono Yeye

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa amewapa neno wanachama wa CCM wanaotaka kufukuzwa ndani ya chama hicho wakituhumiwa kumuunga mkono.

Akiongea hivi karibuni katika kikao cha Baraza Kuu la chama hicho kilichofanyika jijini Mwanza, Lowassa aliwasihi watu hao kujiondoa CCM na kujiunga na Chadema kwani kuna maisha mazuri zaidi ndani ya chama hicho kikuu cha upinzania.

“Lakini hivi karibuni kuna utaratibu wa kuwafukuza kwenye chama watu ambao waliniunga mkono. Wanafukuzwa wanaambiwa ‘ondokeni mfuateni Lowassa’.

"Nasikia kuna mipango mikubwa zaidi baada ya mwezi wa sita atakapokabidhiwa Rais Magufuli… kuna mipango mikubwa zaidi ya kuwaondoa kwenye chama,” alisema Lowassa.

“Sasa mimi nawaambia kwa niaba yetu. There is life outside CCM, nawaambia tena kwa ajili yenu, waje Chadema kuna maisha mazuri tu hapa. Wasibaki huko wananyanyaswa, wanabezwa wanafanya nini… waje tushirikiane tufanye kazi,” aliongeza.

Lowassa ambaye ni Waziri Mkuu Mstaafu alieleza kuwa CCM hivi sasa wanaumia kwa sababu kuondoka kwake na kujiunga na Chadema kuliiongezea nguvu kambi hiyo ya upinzani na kupunguza ruzuku kwa kiasi kikubwa kwa chama hicho tawala.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huna jipya 'madhee', kwishney weye fisadi nyangumi......HAPA KAZI TU!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. fisadi mama ako kuma wee

      Delete
    2. Anonymous 6:44 PM chek povu linavyokutoka
      kampe mkundu lowasa basi mfia lowasa wew
      nyie wasenge wa ukawa ni wa kupigwa tuu
      mamae zenu
      ndio nyie mnaocheza pool table asubuh

      Delete
  2. shetan mkubwa mwizi wa monduli

    ReplyDelete
  3. ccm tunanenepa tuu
    na jpjm akiwa mwenyekit ccm hao mafisadi wenzako mbona watakufata tuu lowasa
    chama kinarudi mikononi mwa wananchi ccm

    ReplyDelete
  4. Hana jipyaaa huyu. Kila siku anatafuta kiki za siasa anadhani atatoka. Loo bora ukachunge ngombe tu. Huko monduli kwenye kuko hoiii bin tabani sijui kama utapaweza kuishi. Inaelekea ungepata nafasi ya uraisi ungeiacha nchi kama monduli hoii bin tabani. Baba fisadi weweee alafu wewe na familia yako ndio mngendelea kuwa matajiri kama sio Tanzania basi wa dunia

    ReplyDelete

Top Post Ad