UKAWA Yaanza Kupasuka Mdogo Mdogo..Baada ya Mwapachu Kurudi CCM Wengine zaidi Kurudi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ukawa yaanza kupasuka katika hali ya kushangaza wanachama wengi wachadema waobesha hali ya kuikubali CCM, hii ni dalili tosha kabisa ya kifo cha Ukawa. Week iliyoopita wanachama zaidi ya mia hamsini walikihama Chadema na kurudi ccm, Leo tena mwapachu aliyeihama ccm kwa mbwebwe na kwenda ukawa arudi kwa mwenyewe ccm, na tetesi zinaonesha kesho pia SAA NNE mgeja na wenzake baadhi wanachama wa Chadema tegemeo watajiunga ccm ili kuudhihirishia umma wa Tanzania kuwa sasa CCM ya Mwalimu imerudi. Hali hii imemfanya mbowe kuchanganyikiwa na sasa anatapatapa hajui afanyeje kuuzuia upepo wa magufuli unaowavuta wengi CCM. POLE SANA NYUMBU HALI TETE KIBANDA KINATEKETEA
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. waje tu ila jpm kuwa makini nao tu maana wengiwametumwa na mbowe

    ReplyDelete
  2. bakari hakuwa ukawa!!!!

    ReplyDelete
  3. Ccm endeleeni kujitekenya mkichoka kucheka tuambieni,upinzani hautakufa milele,chadema itaendelea kuwepo ata akiondoka mbowe.

    ReplyDelete

Top Post Ad