Ukimya wa Reginal Mengi Serikali ya Rais Magufuli Wazua Maswali....Je Kaikubali ama Anaogopa....?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwenyekiti wa makampuni ya IPP huwa mwepesi sana kutoa duku duku ya msitakabali wa nchi, nakumbuka enzi zile za mzee wa msoga alikuwa akimukosoa kila siku kwa utendeji wa serikali ile, lakini inakaribia miezi minne mkereketwa huyu wa wanyonge amekaa kimya kiasi kwamba wafuatiliaji wa maswala ya siasa tumeingiwa na hofu ama Mengi anaogopa serikali hii au ameikubali serikali hii.

Watanzania tulizoea ukosoaji wake, yote aliyekuwa anamkosoa msoga sasa yanaonekana dhahiri, rais aliyepita kwa kweli bado watanzania hatujawa ilikuwepo kwa ajili ya nani, maana hii ni noma, wizi kila kona, ufisadi kila kona, ukwepaji kodi kila kona, mzee amekaa tu, sijui huko msoga anajikia vipi maana kashfa moja baada ya nyingine, mpaka naona aibu. nchi ilipotea khaa.

*****SEMA MAWAZO YAKO, MENGI KUKAA KIMYA, ANAOGOPA AU AMEKUBULI SERIKALI HII?
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wewe si mwana habari?basi ungeanza wewe kumuuliza halafu tuletee mrejesho hapa,itakuwa poa zaidi.

    ReplyDelete
  2. Mmmh! Safari hii maji marefu......

    ReplyDelete
  3. Mzee wa msoga ndie aliefanikisha kulileta hili jembe linalofanya kazi sasa. Believe me hii nchi ingekuwa chini ya Lowasa na akina Sumaye basi nchi ingekuwa mali yaakina Rostam Azizi na wahindi wenzake

    ReplyDelete
  4. BADO ANATAFAKARI MAMBO MAKUU YANAYOFANYWA NA TINGATINGA.
    WAKATI UTAFIKA ATASEMA TU,TENA ATAANDAA MAKALA KABISAAAAAAAAAAAA.

    ReplyDelete

Top Post Ad