Jokate Aumizwa na Maneno ya ALI KIBA Kuwa Wao ni Marafiki Tu...Ampiga Kijembe Kwa Kutumia Wimbo wa Lady Jay Dee

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Huenda maneno ya Alikiba kwenye E-News yameanza kumuumiza Jokate.

Mwanzoni Jokate na Alikiba walionekana kuwa karibu sana lakini siku za hivi karibuni kila mmoja ameonekana kuwa peke yake.

Jokate ameonekana kuumizwa na maneno ya Alikiba aliyojibu kwenye kipindi cha E-News, kinachoruka kupitia EATV. Mrembo huyo ameamua kupost kwenye akaunti yake ya Instagram na kuweka maneno yanayozidi kuzua maswali mengi juu ya mahusiano yake na muimbaji huyo.

Jokate aliweka pichaya kwanza na kuandika, “Mpende akupendaye. Asiyekupenda achana nae!!!

Alikuja kupost picha ya pili na kuandika maneno aliyocopy baadhi ya mistari ya kwenye nyimbo ya Lady Jaydee ‘Ndindindi’. “Niliwezaje kutoa vyote ili hali wewe ulininyima vyote, kama ni jipu lilivimba zaidi. Nikasahau chizi huwa haponi kama chozi mvuani. Hatimaye kumekucha na milembe nimekushusha. Na geti likifungwa naondoka.

Je Paradise pamevurugika?
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Jokate wewe ni mrembo sana yaani nilishangaa sana eti umekuwa pamoja na Ali kiba, yaani hapo bongo hamna wanaume wazuri mpaka ikawa Ali kiba ambaye anaonekana kachoka ile mbaya na anaonekana ni teja halafu anakuzarau wewe Jokate katika social media, du mimi naishi ulaya na hapa natembea na wanaume warembo tu, na ninajua pia Bongo wanaume warembo wapo lakini siyo Ali kiba, pole Ali kiba kwa kuwa una sura mbaya na vile vile hujui kuvaa, mambo ya kuimba na kuvaa muachie Diamond sababu Diamond anajua kuimba na kuvaa na anapendwa mpaka ulaya na marekan

    ReplyDelete
  2. Yaani kinachomuumiza Jokate ni wivu wa kipumbavu yaani kwa alivyo na nyota ya kondoo (UPOLE)watu wengi wanajua yy eti ni mpole kumbe ukweli ulivyo Jokate ni nyoka.tulia mwanamke utapata bwana wa maana km wenzako mwakina nancy sumari na jackline ntuyabaliwe ww mbona unamwiga sn wema..hatutegemei mtu mwenye nyota ya kondoo km ww kufanya mmbo km haya.kua km kondoo kweli bac.au umeanza kuvuta na kaarusha kidogo.acha banaaakimwanaume km kiali kiba hakipaswi kukuzarau ww.

    ReplyDelete
  3. jamani JOKATE TULIA KM WENZAKO AKINA nANCY SAA IZI WANAKULA RAHA ZA DUNIA WW KWA NN MACHO JUUU JUU DADA.UNAIGA NA WIVU WA KIPUMBAVU NDIO UNAOKUPONZA.

    ReplyDelete

Top Post Ad