MAMA Kanumba Aibuka na Makubwa..Adai Lulu Michael Hajawahi Msaidia Chochote na Ameshamsahau Sura yake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Duuuuh!!! Mazito hayaaaa!!! Mama kanumba anasema lulu hamsaidiii na hajawahi kabisaaaa....na hata sura ya lulu kaisahau kabisaa!!! Kayasema mengi sana juzi kati alipohojiwa wakati wa kuadhimisha miaka 4 ya kifo cha Rip Kanumba...mdau unalizungumziaje jambo hili????

Mtazame Hapa Kwenye Hii Video:

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Lulu alishawahi kukusaidia alipotoka jela, hivi wewe ulitegemea Lulu angekusaidia maisha yako yote? Yeye Lulu ana familia yake na ndugu zake ambayo inamtemea kwa maisha ya bongo huwezi kuishi kwa kumtegemea mtu ambaye si ndugu wewe bado unao uwezo wa kufanya kazi kwa nini usifanye kazi kwani hata hivyo huna mtoto wa kulea au mjukuu ambaye atakayekukwamisha kufanya kazi, mbona kuna watu wenye umri zaidi yako wewe ambao bado wanajituma kufanya kazi. yeye Lulu ingawa watu wengi wanamsema sana kwenye mitandao ya kijamii ambayo inamfanya mtu akakata hata moyo wa kufanya kazi, lakini Lulu anaendelea kujituma hivyo hivyo ingawa kuna kipidi huwa anapitia muda mgumu sana sababu ya maneno ya watu

    ReplyDelete
  2. Lulu alipokusaidia mwanzoni ulimuona mtu mpaka ukamwita Lulu ni kama mwanao, leo Lulu ameacha kukusaidia umesahau hata sura yake, Du kweli bongo mtu ukimsaidia mtu unaonekana mtu lakini usipoweza kumsaidia mpaka hakumbuki sura yako na utu wako ubinadamu haupo tena bongo siku hizi ni pesa tu inapendwa kuliko ubinadamu. Ndiyo maana Lulu aliacha kukusaidia alikuona hutosheki. Sababu hata asante huna.

    ReplyDelete
  3. Khaa huyu mama nae sasa kazidi sasa lulu amsaidie hadi lini au waliingia makubaliano ambayo lulu annapaswa kumsaidia ktk maisha yake yote. Hebu muache mtoto WA watu, kutwa kwenye media kumsema vbaya. Mpe poo basi

    ReplyDelete
  4. Akusaidie Nini? Ulitaka pesa, watu wameweka pesa mbele mpkaa, kama una hitaji ukimweleza au akijua unaitaji anaweza kukupa hiyo pesa kama anayo, lakini isiwe sababu ya eti anisadiii anisadiii, hii tabia ni stupid sana,na lulu naye anatafuta na muitaji vile vile na tena familia yake pengine nayo inaimba kutwa pesa pesa hasa sisi wafrica mtu akipata kidogo watu wote wa karibu. Ndugu mimacho yao hapo hapo. Badara nao wao kujitafutia wanawaza kutafutiwa,na wewe wala si wa familia yake ni mmja tu katika jamii yake

    ReplyDelete

Top Post Ad