Mishahara Hewa, ilikuwa ikiliwa na nani? Ni Vema Tukawajua na Wachukuliwe Hatua

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Naomba mnisaidie kidogo,

Ni nani hasa aliyekuwa anakula hii mishahara hewa, ni wafanyakazi waliofukuzwa /kuachishwa kazi/kufariki nk na fedha kuendelea kuingia kwenye akaunti zao au viongozi ambao walikuwa wanajua fulani amefariki /amestaafu n.k na kujipakulia hiyo mishahara?

Je,mbinu gani ilikuwa inatumika?
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. 1.Kuna (penseni) za watu waliokwisha fariki lakini cha ajabu zilikuwa zinaendelea kuletwa,na wengi walikuwa wanachukulia posta wachache bank
    2.Kuna wengine zilikuwa zinakutwa kwenye a/c na ndugu zao hasa kwa wale ambao walikuwa wanapeana password na wake/waume zao hivyo kupelekea hata mtu akifa bado hela zinaingia,na kawaida watu wa bank kama hukupeleka vielelezo vya kifo hawawezi kufunga ac.
    3.Wengine makusudi tu hasa watu wanaoandaa mishahara wanaweka majina wanayoyajua na kujilipa.

    ReplyDelete

Top Post Ad