.

4/21/2016

Video: Rais Magufuli Awajibu Haki za Binadamu, Asema Nao Wanaweza Kuwa Majipu Kwa Kutetea Maovu....

Katika hali inayoonyesha kuwa na majibizano kati ya Rais Magufuli na Kituo Cha Haki za Binadamu LHRC kinachoongozwa na Dr. Hellen Kijo Bisimba, leo Rais Magufuli hadharani kasema wanaosema amekiuka haki za binadamu kumsimamisha ndugu Kabwe hadharani walitakiwa pia waseme vivyo hivyo kipindi anamuapisha hadharani kwa kuwa ni mteule wake, Amesema hao Waliotumbuliwa wamewaibia Watanzania hadharani hivyo inabidi watumbuliwe hadharani nao wapate maumivu kama waliyoyapata Watanzania...Hivyo, ni vyema wakaiacha serikali ikafanya kazi yake, na ikiwezekana itabidi awachunguze hao LHRC credibility yao kama wanatetea mambo maovu inawezekana nao ni majipu..

Mtazame Hapa Alivyokuwa anamwaga cheche:

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

10 comments:

 1. jino kwa jino mwanangu
  Tanzania kwa mipasho wacha
  Hata wakukaya anaijuwa mipasho

  ReplyDelete
 2. Kamua kamua babaaaaaaa we safisha uozo atakaesema yalaaaa ujue limempata

  ReplyDelete
 3. hahaaa wamejileta wenyewe watumbuliwe tuuuu

  ReplyDelete
 4. Majipu yamekuwa vipele
  Kila leo fyuuuuuu

  ReplyDelete
 5. Majipu anawajuwa sana magufuli anatumbuwa vijipele

  ReplyDelete
 6. Nikiangalia picha wakati Rais anazungumzia kuhusu utumbuaji wa majipu sura za karibu wote walio uhudhiria huo mkutano zinaonyesha kabisa kuwa wana michecheto kana kwamba nao pia sio clean wana walakini fulani wa kufuja pesa za umma kwa namna moja au nyingine nyuso zenye hofu na wasiwasi kama vile duh kesho anayefuata nitakuwa mimi sijui?Now is the end of your dirt road you greedy and heartless people remember that "THE PAY DAY HAS NOW COME"So be prepared to dance the music played by our honourable Mr.JPM poor people's last hope"ALUTA CONTINUA"

  ReplyDelete
 7. Naa hao ni majipu tu, watumbuliwe, ufisadi wote huu na wizi wa mali za unna na mikataba ya uongo uongo,hmmm hao nao ni majipu yanayojingiza kwa kujitetea kupitia hicho cheo, loo wakati asilimia kubwa ya watanzania maisha bora kwao ni kama ndoto wako tiii mlo mmja kwa siku, mahospital ni shida elimu ya kayumba, dawa hamna asilimia kubwa wanasumbuliwa na kipindupindu, homa za matmbo ni kwa sababu ya watu kama hawa wameweka maslahi yao mbele hao ndio ilitakiwe washirakiwe kuwa wanavunja khaki za binadam, kwa wizi, ufisadi uliokithili kiasi kwamba kupelekea wengi kuhangaika, watu mpka wanakosa imani na serikali yao, mtu anajua hata akilipa kodi haina faida kwake, faida kwa bepari mkoloni mweusi aliepewa cheo, kuwaibia wenzake, hao wanaojita khaki hawana lolote ndio hao hao wanaongana mihela yetu ya kodi kutaka kuendelea kutukandamiza wao waishi maisha ya juu mazuri, pongezi zako Raisi Magufuri, kwa kazi njema unayoifanya kwa kujitolea kwa walio wadhaifu,

  ReplyDelete
 8. hongera sana baba watumbue tu !!!!

  ReplyDelete
 9. Inapendeza kutumbuliwa na mali zao warudishe serikalini,ndio maumivu yatakolea sawasawa.

  ReplyDelete
 10. Ni kweli kabisa, hao wanaojiita wanaharakati hata JK aliwahi kuuliza "hivi hawa wanaharakati wanaharakatika nini?". Hao akina Helen Kijobisimba wanafanya kazi zao kisiasa, kitu au jambo likizungumzwa na chadema wao ndio wanalishikia bango......JPM TUMBUA HAOOOOO, TUMEWASHTUKIA

  ReplyDelete

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger