AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Nimesoma katiba nzima sikuona sehemu iliyoandikwa eti kulalamika ni kosa la jinai au la kawaida. Sasa huu udukuzi anaoufanya Mh. rais hauvunji haki za binadamu??
Wanasheria nisaidieni,
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
mmmmh
ReplyDeleteHuo ni mwanzo tu. mipango iko njiani kuweka kamera kwny majumba yao na hasa kwny vyumba vya kulala.
ReplyDeleteKwenda zako huko,mxiiiiii fyuuuu.
ReplyDeleteTuulize ni halali JPJM kupata mshara wa 9.5 million wakati anafanya kazi sana?
kwani wewe ni halali kudukua udaku na kuweka mitandaoni bila kibali cha muhusika?
ReplyDeleteNI HALALI.
ReplyDeleteMnajaribu kufukunyua kila jambo ili mradi tu mumkosoe rais?
ReplyDeletemwache adakue ili apate ushahidi wa kutosha wa kuwafukuzeni kazi
ReplyDeleteSawa sawa, sababu hamfanyi kazi kwa kujituma, na uaminifu. Uwaminifu ni kitu kizuri sana popote pale duniani, na hiyo mitambo ya vidukuzi nchi zilizoendelea ni kama kawa, ukikosa uwaminifu umejifukuzisha kazi mwenyewe, muda wa kuendekeza endekeza ujinga, na bilbransjen aibu umeshapitwa na wakati ndio maana hatupigi hatua
ReplyDeletePekuaaaaa jpm pekua mpaka madroo ya ofisi zao pambafuuuuuu
ReplyDeleteKudukua ni muhimu ili apate kujua nani manafiki anacheka usoni moyoni anaumia, asiyetosheka ARARE MMBERE
ReplyDelete