Baada ya Bunge Kukatazwa Kuonyeshwa Live..Baadhi Waamua Kujirekodi Kwa Kutumia Simu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


From @mangekimambi_ - Omg this is sooooo sad jamani... Eti nchi yetu ndo imefikia hapa, Mbunge akiwa anachangia bungeni mwenzie inabidi amrekodi Kwa simu then waposti kwenye social media ndo wananchi wajue michango Yao.... This is really sad! Hivi Kweli Raisi wetu asiependa uonevu wa watanzania anayaona haya???
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hao wabunge wanapenda tu sura zao zionekane kwenye tv. Hakuna sheria inayosema michango yao lazima ionyeshwe live. Tujaribu kupunguza unongwa wa kitoto

    ReplyDelete
  2. Kwani bunge hatuoni kabisa?mbona tunajua kinachoendelea bungeni,
    kikubwa tunaone japo sio live.

    ReplyDelete
  3. Mange muda mwingi uko kwenye mitandao kutafuta habari hivyo hili swala lazima ulipinge kwa nguvu zote. Sisi wengine tunaona sawa kuona yaliyorikodiwa maana muda huo wa bunge tunakuwa tuko makazini na mashambani,saa ngapi tunaangalia bunge?

    ReplyDelete
  4. Kwani msipoangaliwa au kusikilizwa kwenye tv na redio hiyo mijadala hainogi au kutafuta sifa tu.... big up serikali, mumewaweza kweli wauza sura....kama watoto vile...hovyo. Na msigombee ubunge kama hamuwezi kufanyakazi bila kuonesha 'mlivyo vaa'...mfyuuuuu

    ReplyDelete
  5. Hawana lolote hao wabunge, shida yao tuwaone jinsi wanavyojua kuchambana na kurushiana madongo-kwa-madongo...tumewastukia

    ReplyDelete
  6. Tulipiga hatua sasa tunarudishwa nyuma

    ReplyDelete
  7. Jadilini maendeleo ya Wananchi wenu sasa hili la live coverage acheni. Maana kila kipindi cha bunge huwa kuna jambo linawachukulia muda zaidi kuliko mambo mengine muhimu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kabisa mdau..hawa sasa wanaanza kupoteza muda WA kujadili. Maendeleo ya nchi ma kufocus kwenye laivu Na record nani anataka sura zenu.. Mgine kaingia analala bungeni macho mekundu mwingine mgine hajavhana nywele.. ndugu zangu waheshimiwa sura zenu tunazijua hebu mtufanyie kazi hapo siyo likizo..naomba serikali ifupishe marusho Na telephone 📞 zao wahifadhiwe mpaka wakati WA mapunziko wachangie hoja ma siyo what's up .Hilo Ni lazima tuwakemee Na tubasilishe huu mwendo.

      Delete

Top Post Ad