Breaking News:Hoja ya Dharura Wanachuo 7000 UDOM: Naibu Spika Aahirisha Bunge Baada ya Wabunge Kwa Pamoja Kutoka nje

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Bunge limechafuka muda huu baada ya Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nasari kuomba mwongozo wa kujadili hoja ya wanafunzi zaidi ya 700 waliofukuzwa chuoni ijadiliwe kama hoja ya dharura.

Naibu spika akaendeleza ubabe hivyo wabunge wa vyama vyote walisimama na kutoka nje.

Chanzo: Radio One
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. NA KWELI LIJADILIWE MAANA HAWA NI WATOTO WADOGO SANA, MITIHANI WANAYOKUTANA NAYO NI MIZITO UKILINGANISHA NA UMRI WAO. KWANZA WAMEZAGAA SANA MJINI DODOMA WENGINE HAWANA NAULI ZA KURUDIA MAKWAO, HAWANA PA KULALA NA HAWAJUI WANAKULA NINI. WENGINE WAMEKESHA KWENYE MABAA UKIWAONA UTAWAHURUMIA TU. JAMANI HEBU WASAIDIWE HAWA WATOTO.

    ReplyDelete
  2. Huyu ndo kweli baby naibu spika
    Anatamba anadharau
    Kisa kachaguliwa kibaby
    Ccm mnayaona sasa
    Mtoto hana msalie mtume
    Anaroho Kama ya paka

    ReplyDelete
  3. wabunge badilikeni jamani mbona mnatuchosha mnajiongezea siku za posho kiaina ee sasa mnajifanya kuungana na wakati mnapitisha sheria mbovumbovu ambazo sasa zinatughalimu watu wa hali ya chini ndio mnajifanya kuungana acheni unafiki hizo lazimazibadilike mlizoea kuchakachua sasa umefika wakati wa usawa na usawa unapochukua nafasi yake mnaona kama wananchi wanaonewa hali ambayo nyie wenyewe ndio watunga sheria na kupitisha maamuzi mabovu mabovu ambayo sasa yanawatafuna nyie pamoja na sisis msituchanganye wengine mnaongea mishipa inawakauka lakini hamna lolote lile bado wengi wenu hapo mna mlengo wa kuwanyonya wananchi fanyeni kazi tuione

    ReplyDelete
  4. hayo ndio maamuzi ya serikali ya awamu ya nne yanaitesa serikali ya awamu ya tano pindi anapotaka kuiweka nchi kwenye mstari hivi inawezekanaje upungufu wa walimu wa sayansi akachukuliwe mtu aliyefaulu sayansi tu mbona vitu vya ajabu sana na vinapotaka kurekebishwa watu wanakuja juu sijui nchi hii tunakwenda wapi ndio maana tunachekwa sana tatizo lenu wabunge mnapenda kuonekana na si kufanya kazi jitahidini kujiheshimu basi na kama tatizo ninaibu spika basi ajikatae mapema iloa wabunge mmezidi sana kwendeni zenun uko

    ReplyDelete
  5. tanzania tutazidi kuwa kichwa cha mwendawazimu kasoro raisi tu

    ReplyDelete
  6. Wabongo wa Ccm mmeanja kujitambua manake mlikua Kama mandondocha!!!!hadi mnakera waliwaweka hapo ni wananchi sio magu.

    ReplyDelete
  7. Naibu spika ni jipu donda ndugu
    Pole magufuli kwa kumchaguwa kuwa
    Mbunge waliokushauri wafukuze

    ReplyDelete
  8. Ndo maana tuna taka katiba mpya
    Ili hivi vijipele visije kuwa majipu
    Wabunge wa ccm tuliwambia tangu mwanzo huyu mtoto ibilisi mkamchaguwa kwa vishindo
    Kaingia bungeni kininja

    ReplyDelete

Top Post Ad