AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Na Miss Tanzania huyo wa zamani anataka watu wajue kuwa suala la mtoto si kitu anachokichukulia poa hata kidogo. Muigizaji huyo alielezea hisia zake hizo kwa kupost picha akiwa na mama yake na kuandika: Iko siku na mimi ntaitwa Mama.’ Aliongeza emoji za mtu mwenye huzuni.
Miezi kadhaa iliyopita Wema na Idris walitangaza kutarajia kupata watoto mapacha lakini baadaye walitangaza kuwapoteza. Kwa muda mrefu Wema amekuwa muwazi kuhusu tatizo lake la kutoshika mimba katika muda anaotaka kufanya hivyo.
Mashabiki wake wameendelea kumpa moyo na kumtaka asikate tamaa.
“Usikate tamaa @wemasepetu unakumbuka sara wa ibrahim alizaa akiwa mzee sana cha msingi endelea kumwomba mungu na jiweke karbu nae hakuna kinachoshindikana kwake,” ameandika shabiki mmoja.
Chanzo: Bongo5
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Muombe MUNGU akusamehe wale uliowanyonga. Baadae ya hapo ndio umuombe akupe. Maana hukuzaliwa mgumba ila kwa kupenda usichana ukipewaunatupa chooni. Sasa unataka hupati. MUNGU akusamehe.
ReplyDeleteNa sio lazima maisha yako uyafanye matangazo. Kumuiga Kim Kardashian kunakufanya uwe mwehu na matako yako feki. Yule star huwezi kujifananisha nae. One thing you have in common ni uzinzi lakini mwenzio kaolewa na anazaa. Wewe vipi?
ReplyDelete