Magomeni: Basi Lingine la Mwendo Kasi Dar Lagongwa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Basi la mwendo kasi limepata ajali katika junction ya Sheikh Yahya, Magomeni baada ya gari binafsi kupiga "u-turn" sehemu isiyoruhusiwa.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wabongo tumezoea kufanya mambo kiholela kwa namna hii sijui kama tutaendelea,kama watu hasa madereva wana elimu ya kutosha kuhusu matumizi ya hizo barabara za magari ya mwendo wa haraka,hatua kali zichukuliwe kwa atakaye vunja sheria za barabara hizo.

    ReplyDelete
  2. Nchi karibu zote duniani tunatumia MRT/BRT na OCen Taxis.. Tumaelimishe ndugu zetu Kafika televisheni kama tragic awareness campaign short clip Tv zote kuelimisha Jaami na Magazeti standard advert na faini PIA iwekwe na mwenye kuchunja hii sheria gari yake iwekwe kituoni kwa muda WA masaa6 hii Ni part of awareness campaign mwanzo bila faini akirudia iwe masaa 12 na faini ya 30k. Hii Ni kwa sababu huko kitu bado kigeni..tuanze kutembelea mashuleni/ nyyuoni na Billbord mabarabarani..wiki ya usalama barabarani ukimshirikisha Makonda Na Wadau na wanasanaa..Itasaidia kwa lengo la mwamusho WA watu wetu..POLENI MLIO SIBILA NA HAYA..NA IMANI MAKONDA ATAKUJA NA MIKAKATI

    ReplyDelete
  3. Bongo banaaa kila kitu short kati mpaka barabarani haya sasa ngoja movie iendelee

    ReplyDelete

Top Post Ad