AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Tanzania Pharmaceutical Industries (TPI ) kinachomilikiwa na wadau wa tatu akiwemo mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam ndugu Ramadhan Madabida walizuiwa kufanya shughuli za uzalishaji kwa miaka minne sasa kufuatia hatia dhidi ya mfamasia wa kiwanda hicho bi Zarina Madabida za kuzalisha ARVs feki.
Hata hivyo TPI walishinda shauri hilo na kufungua kesi ya madai ambayo walishinda.
Ikiwa deni hilo litadumu tena kwa miaka miwili ijayo linaweza kuigharimu zaidi serikali.
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Chura anarukaruka chura!
ReplyDeleteJAMAN!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteSIJAELEWA MTU ANATENGENEZA CONDOM FAKE HALAFU ANASHINDA KESI?????????????
ReplyDeleteHamna lolote mpaka mahakamani nic orrupution. Wako fake kazi kupokea rushwa tu, nchi ilisha kuwa kwishinei hii, ilibaki kidogo tu ingedondokaa kabisa Tiii chalii, lingebaki jina tu la Tanzania kwa uongozi mbovu mbovu,
ReplyDelete