Nape Ajikanyaga DW Kuhusu Kufungia Mawio na Kuzuia Matangazo ya Bunge live

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Akihojiwa na DW amesema ni kweli sheria ya magazeti ya mwaka 1976 ni mbovu na inapelekwa bungeni kuibadilisha. Alipoulizwa kwamba kama amekiri sheria hiyo ni mbovu ikiwa itafutwa na maamzi ya kulifungia Mawio yatabatilishwa kwa vile yalifanyika kwa kutumia sheria mbovu? Akasema sheria hata kama ni mbovu lazima iheshimike hivyo maamzi yatabaki pale pale.

Kuhusu bunge kurushwa live Nape amesema watumishi wa serikali walikuwa wakiiba muda wa kazi kutazama bunge. Alipoulizwa kwa nini hatua za kiutendaji zisichukuliwe badala ya kusitisha matangazo na kwa nini mwanzoni alisingizia gharama. Akajibu kwamba suala hilo si la serikali bali bunge "Kwanza hili suala si la serikali, bunge liliona ni kuna redio 125 nchi hii na wote hawawezi kuleta mitambo yao hapa hivyo wakatengeneza studio ambayo redio zote zinaweza kupata matangazo" alisema.

Alipobanwa kwamba kwa nini redio na Tv zilizo na uwezo wa kurusha moja kwa moja zilizuiliwa? Akajibu, mbona South Africa wanafanya hivyo na hakuna malalamiko? "Nchi nyingine kama South Africa inaonyesha masaa 8 live na baada ya hapo wanarekodi huko mbona hawalalamik
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Yetu macho
    Tunasubiri vipele
    Wakati majipu yakisubiri kuiva

    ReplyDelete
  2. Mh hapa sio south Afrika, pia bunge sio la watumishi wa umma tu. Je sisi wakulima hatufai kufuatilia mambo ya bungeni. wengine ni wavuvi, wengine wanafanya kazi kwenye mahoteli je serikali ya mwaka huu ni ya wafanyakazi wa serikali tu? mbona wakati wa uchaguzi walifika hadi kijijini kwetu?

    ReplyDelete

Top Post Ad