AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Kuhusu bunge kurushwa live Nape amesema watumishi wa serikali walikuwa wakiiba muda wa kazi kutazama bunge. Alipoulizwa kwa nini hatua za kiutendaji zisichukuliwe badala ya kusitisha matangazo na kwa nini mwanzoni alisingizia gharama. Akajibu kwamba suala hilo si la serikali bali bunge "Kwanza hili suala si la serikali, bunge liliona ni kuna redio 125 nchi hii na wote hawawezi kuleta mitambo yao hapa hivyo wakatengeneza studio ambayo redio zote zinaweza kupata matangazo" alisema.
Alipobanwa kwamba kwa nini redio na Tv zilizo na uwezo wa kurusha moja kwa moja zilizuiliwa? Akajibu, mbona South Africa wanafanya hivyo na hakuna malalamiko? "Nchi nyingine kama South Africa inaonyesha masaa 8 live na baada ya hapo wanarekodi huko mbona hawalalamik
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Yetu macho
ReplyDeleteTunasubiri vipele
Wakati majipu yakisubiri kuiva
Mh hapa sio south Afrika, pia bunge sio la watumishi wa umma tu. Je sisi wakulima hatufai kufuatilia mambo ya bungeni. wengine ni wavuvi, wengine wanafanya kazi kwenye mahoteli je serikali ya mwaka huu ni ya wafanyakazi wa serikali tu? mbona wakati wa uchaguzi walifika hadi kijijini kwetu?
ReplyDelete