Picha: Hasheem Thabeet atua Dar kimya kimya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Tangu nimeanza kumsikia, Hasheem Thabeet hajawahi kuwa mtu wa matangazo mengi pale anaporudi nyumbani. Mchezaji huyo wa kikapu aliyefanikiwa kuchezea timu nne zilizopo kwenye ligi ya NBA nchini Marekani, yupo jijini Dar es Salaam kwa

Mchezaji huyo aliyeenda hewani, Jumamosi alionekana kwenye viwanja vya Leaders alikoenda kwenye tamasha la Nyama Choma.

Akiwa NBA Hasheem alichezea timu nne tofauti zikiwemo Memphis Grizzlies (2009 – 2011), Houston Rockets (2011–2012), Portland Trail Blazers (2012) na Oklahoma City Thunder (2012–2014).

Pia amechezea timu zingine za ligi ya chini, D-League Dakota Wizards, Rio Grande Valley Vipers na Grand Rapids Drive.

Katika misimu yote tisa aliyowahi kucheza, Hasheem alikuwa na wastani wa pointi 2.2, 2.7 rebounds, na 0.8 blocks kwa kila mchezo. Tafsiri yake ni kuwa mchezaji huyo hakuwa na mafanikio sana kwenye ligi hiyo.


----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hiyo Nchi ni ya kwenda kimyakimya kwa sababu wanga ni wengi sana hapo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hahahahahaaa!You're damn right tena kuna wanga wanaruka na ungo mchana mchana kudadeki

      Delete
  2. Idrisa anajipendekeza angalia maadam maana aachi kitu akimkalia sawa anabeba

    ReplyDelete

Top Post Ad